Search results

  1. Madege

    Isizidi milioni 5.8, gari gani itapatikana

    Gari kati ya spacio _new model, ist, swift au vits new model na nyingine dizaini hiyo inatafutwa kwa bei husika hapo juu. kama IPO nicheki halafu nakupa mhusika mkuu anayetafuta gari hiyo uongee nae biashara.
  2. Madege

    Tumaini Makumira wameshatoa selection 2014/2015

    Kama ulichagua Makumira basi fanya kupitia ktk website ya chuo uweze kuona majina hayo The candidates listed below have been awarded admission to TUMA for the 2014/15 academic year. The orientation week for first year students starts on 29th September 2014. LIST OF PROPOSED STUDENTS 2014/2015
  3. Madege

    Nauliza hivi kuna basi la Iringa - Mwanza?

    wadau habari zene! napenda kufahamu je kuna kampuni yoyote ile ya mabasi inayosafirisha abiria kati ya mwanza -iringa-mwanza? kama ipo naomba jujua jina lake. natanguliza shukrani
  4. Madege

    Mwakyembe achukua maamuzi baada ya ajali Musoma

    Jana September 5 2014 kwenye eneo la Sabasaba hapa Musoma ilitokea ajali mbaya sana ya mabasi mawili yakiwa na abiria na kulihusisha gari jingine dogo ambapo majeruhi ni zaidi ya 70 na waliofariki ni 39 Wanawake kwa Wanaume kwa mujibu wa taarifa mpya za vifo zilizotoka muda mfupi uliopita. Kwa...
  5. Madege

    Majina ya waalimu wa diploma wanaotakiwa kwenda jkt

    Waalimu wa diploma nao wanatakiwa kupata mafunzo ya jkt ili kujua umepangwa wapi tembelea hapa WALIMU-DIPLOMA KWENDA VIKOSI MBALIMBALI
  6. Madege

    iliboru yafungwa na serikali

    Shule ya Sekondari Ilboru imefungwa ghafla na Serikali, habari zaidi soma hapa: http://www.itv.co.tz/home
Back
Top Bottom