Tumaini Makumira wameshatoa selection 2014/2015

kama kuna yeyote ambaye amechaguliwa hapa makumira, namkaribisha kwa msaada wowote, mie nko hapo makumira. nicheki muda wote kwa jambo lolote na hata kama unataka kuyajua mazingira. waweza nipm au kuuliza chochote hapa
 
nimehitimu mwaka huu apo vip upo mwaka wa ngapi apo
 
msaada wako mkuu kuna dogo kachaguliwa hapo makumira angetaka kujua atakuwa amepata mkopo au wote wanaochaguliwa makumira awapati mkopo? maana makumira sio cha serikali?
 
mkopo atapata tu asubirie majina yatakayotoka tcu ndo yataonyesha mkopo. mimi mwenyew nimesoma pale na mkopo nilipata na wengi wanapata so asiogope
 
Wewe umesoma vyuo vingapi si ulisema umesoma Kamapala international university?
 
kama kuna yeyote ambaye amechaguliwa hapa makumira, namkaribisha kwa msaada wowote, mie nko hapo makumira. nicheki muda wote kwa jambo lolote na hata kama unataka kuyajua mazingira. waweza nipm au kuuliza chochote hapa

Mi nimechaguliwa Makumira ila napenda kuuliza kama result slip ya form six ni ya lazima au laa.Pia ningependa tuwasiliane Zaidi kupitia Whatsapp,Namba yangu ni 0718268014.Thanks
 
Hongera kwanza, angalia joining instruction yako vtu vinavyohitajika ili usajiliwe kisha uviandae. Mengine ntakufahamisha kwa simu
 
Back
Top Bottom