Search results

  1. mwandiga

    Tuzuie ajali kama ya Lucky Vicent

    Kwanza nianze kwa kutoa pole kwa wafiwa woote wa ajali ya gati la Lucy Vicent. Mungu azilaze roho za wote mahali pema. Katika uzi huu sina nia mbaya ya kumsema mtu au kusmea biashara ya mtu. Kengo ni kusaidia jambo kama hilo lisitokee kiuzembe. Nitatoa mfano mmoja hai. Pale Kasulu kuna shule...
  2. mwandiga

    Watu wenye maski na silaha wavamia mkutano wa CUF

    Nimeshangazwa na kitendo kilichotokea cha mkutano wa CUF kuvamiwa na watu waliovaa maski na wnye silaha za moto chenye waandishi wa habari. Cha kushangaza zaidi watu hao hawajakamatwa na hakuna lolote lililofanywa na polisi. Kwanza hawa si ndio wanaua polisi kibiti? Wanepata wapi silaha na...
  3. mwandiga

    Ukweli usipowekwa wazi utekaji uko palepale

    Kwa yaliyotokea leo ni dhahiri kuwa wasanii wahusika ndio wanachochea saaaana kuendelea kuwepo kwa matukio ya wasanii na wengine kutekwa, kupigwa na kupotezwa lakini cha ajabu utasikia maisha yangu yapo matatani. Mtu umetekwa umepigwa hujafanya kosa badala ya kuja hadharani na kusema ukweli wa...
  4. mwandiga

    Ukweli usipowekwa wazi utekaji uko palepale

    Kwa yaliyotokea leo ni dhahiri kuwa wasanii wahusika ndio wanachochea saaaana kuendelea kuwepo kwa matukio ya wasanii na wengine kutekwa, kupigwa na kupotezwa lakini cha ajabu utasikia maisha yangu yapo matatani. Mtu umetekwa umepigwa hujafanya kosa badala ya kuja hadharani na kusema ukweli wa...
  5. mwandiga

    Hivi Bunge limekuwa sehemu ya Serikali

    Kwa uelewa wangu mdogo najua state au nchi ina mihimili yake mitatu ambayo inajitegemea na kujisimamia bila mwingine kuingilia utendaji wa mwingine. Mihimili hii ni Serikali, Bunge ambalo husimamia serikali na kutunga sheria na wa tatu ni mahakama ambayo hutafsiri sheria. Nashangazwa na...
  6. mwandiga

    Natafuta rafiki wa kike

    Natafuta rafiki wa kike ambaye nitampenda na kumjali, kubadilishana mawazo, company na kusaidiana katika mambo ya maisha. Sifa; Awe na Umri usiopita miaka 26 Awe na umbo zuri na sura ya kuvutia na uzuri wa asili Awe na tabia njema na asiwe na tamaa mbaya Awe ana ndoto za maendeleo na mitazamo...
  7. mwandiga

    WLAC Kasulu ajali ni matokeo ya kupeana ndugu kazi

    Ofisi za WLAC kasulu ni jipu kubwa sana na ndio chanzo cha ajali ya magari mawili waliyopewa na UNHCR walitangaza kazi nafasi za udereva, wakafanya usahili kwa madereva wazoefu, matokeo yake wakatoa ajira kwa watu wawili ambao wa kwanza hakuwa dereva, alikuwa na leseni na idea ya kuendesha gari...
  8. mwandiga

    Magufuli kuwa makini, sema lolote sasa

    Kuna juhudi kubwa sana zinafanywa kuhakikisha Magufuli anaibukia ikulu, kumbuka ukifanikiwa kuingia ikulu lazima utawalipa fadhila na hili litakugharimu kama lilivyogharimu utawala uliopo madarakani sasa. Kuna watu utalazimika kuwaonea aibu na kuwapa uongozi kwani ndio wamekuweka hapo ikulu...
  9. mwandiga

    Kaijage wa kasulu uko wapi

    Kaijage uko wapi. Umeshuhudia ujinga uliokuwa unaufanya wa act. Uliambiwa act ni tawi la ccm ukakataa. Leo mna wabunge wangapi. Madiwaji je. Matusi mliyokuwa mnatoa yamesaidia nini. Jiungeni na ccm sasa
  10. mwandiga

    Hongera kwa Lissu na Mnyika, Wabunge viherehere kimya kama wananyolewa

    Mjadala wa leo na jana jioni ni wenye heshima, wabunge wengi wapo kinya kama wananyolewa. Wasomi tu ndio wanaongea. Wabunge wasomi wa CCM wanamshambulia Lissu ili washinde jambo lililo wazi kabisa. Hata mwalimu wa Lissu nae anafundishwa sasa. Hilo sishangai, wamejiingiza kwenye siasa...
  11. mwandiga

    Mrisho Mpoto vipi wimbo wa kumuaga mjomba haujautunga

    Wakuu salaam, mrisho ukipita hapa naomba majibu, vipi huna neno lolote kwa mjomba maana ndio anaondoka hivyo, katika kipindi mjomba alichoachiwa familia aiagalie kuna mambo mengi sana yamefanyika, mazuri, mabaya, mabaya sana sasa upo kimya. Tafadhali sema neno. Hata adela pia una la kumwambia...
  12. mwandiga

    Rais unaigiza hadi unaonekana wazi ni muigizaji

    Hainiingi akilini eti muhongo aitishe waandishi atangaze kujiuzulu na kisha baada ya masaa machache rais atangaze waziri mbadala. Aliogopa kumfukuza? Alijua nini kinaendelea na kushauri maana huu ni mchezo ambao umepangwa kabisa, kuna kitu kimejificha hapa rais anakijua na anakificha...
  13. mwandiga

    Pinda kutumia busara unamaanisha nini

    Nimemsikia Pinda anasema bunge litumie busara kujadili escrow, anamaanisha nini huyu. Anatetea wezi huyu. Busara ndio nini. Majaji wamepewa fedha anadhani watakubali wajadiliwe, thubutu yako hawapendi ujaji. Wateule wa profesa wana matatizo sana. Pinda unamaanisha unajificha nyuma ya mahakama au
  14. mwandiga

    Mikataba iliyosainiwa China Octoba 2014

    Wakuu habarini, nauliza tu kwa wenye ufahamu hivi mikataba iliyosainiwa juzi kati huko China na rais Kikwete pamoja na mawaziri alioambatana nao, na wakuu wa wilaya pia je Watanzania wanaijua, Wabunge wetu wanajua masharti yake? Iliwahi kujadiliwa mahalu au ni maamuzi tu ya mtu kutoa dhahabu...
  15. mwandiga

    Machali afanya mkutano na baba yake mzazi; akana kupigwa

    Nimepata habari kuwa sasa hivi kuna mkutano wa machari na baba yake mzazi huko Kigoma na baba yake amekana kupigwa. Walioko Kigoma kasulu tupeni habari ************************
  16. mwandiga

    Polisi walioua kasulu waachiwa huru

    Hii sijui imekaaje, ni sheria zetu mbovu au kuna jingine zaidi. Wale polisi waliokuwa wamefungwa kwa kosa la kuua mwanakijiji wa Jimbo la kasulu vijijini wameachiliwa huru huku wakiwa wamekaa gerezani miaka 2 tu. Hii ni sawa? Wenye uelewa wa sheria naomba mawazo yenu, kwani wote 7 wameachiliwa...
  17. mwandiga

    Ushauri wangu kwa waziri mkuu

    Ninao ushauri kidogo kwako waziri mkuu wa Tanzania. Unaweza uuzingatie au uuache lakini lengo ni kulinda heshima yako. Waziri mkuu sio maswali yote unayoulizwa kwenye kipindi cha maswali ya papo kwa hapo yanajibika kwa wakati huo huo. Kuna mengine huwezi kuyajibu hadi utulie, upate uelewa wa...
  18. mwandiga

    Walipua bomu hawatajulikana.

    Kwa jinsi mfumo wa nchi yetu kamwe wahusika wa bomu arusha hawatatajwa wakijulikana. Watakamatwa wengine ambao hawahusiki. Serikali inalindwa sana, ndio maana kuna uwepo wa DPP, mwanasheria mkuu wa serikali, na wengine. Hawa kazi yao ni kuangalia jambo lipi linaifunua serikali kisha wao...
  19. mwandiga

    Hivi Zungu ni serikali au ni kufuata mkumbo

    Nimeshangazwa na kitendo cha leo cha mwenyekiti kikao cha bunge bwana Zungu kusimama huku akitoka povu kutetea serikali kuwa haibalance mambo. Je yeye ni serikali au bunge! Kafulila katika mchango wake alisema serikali imekuwa ikifanya mambo kwa woga kwa kubalance vitu, mfano ikifungia kituo cha...
  20. mwandiga

    Nimedondosha Ipad haiwaki tena, msaada plse

    Wakuu nimedondosha Ipad kutoka kitandani kwa bahati mbaya, ilizima na nilivyoiwasha haikuwaka tena naombeni msaada nini cha kufanya hapo. Natanguliza shukrani zangu:yo:
Back
Top Bottom