Nimedondosha Ipad haiwaki tena, msaada plse

mwandiga

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
1,506
661
Wakuu nimedondosha Ipad kutoka kitandani kwa bahati mbaya, ilizima na nilivyoiwasha haikuwaka tena naombeni msaada nini cha kufanya hapo.
Natanguliza shukrani zangu:yo:
 
haiwaki kivipi? inaonyesha tunda la apple? umejaribu kuconnect kwa cable?
 
1.hold and push the ON button and HOME button altogether for about 5 secs
2,kama haijakubali try to connect it with usb kwenye pc
 
Wakuu nimedondosha Ipad kutoka kitandani kwa bahati mbaya, ilizima na nilivyoiwasha haikuwaka tena naombeni msaada nini cha kufanya hapo.
Natanguliza shukrani zangu:yo:

Fanya Hivi:

1.hold and push the ON button and HOME button altogether for about 5 secs
2,kama haijakubali try to connect it with usb kwenye pc

Ikishindikana kabisa ni-PM niinunue, ni ipad gani? specs?
 
Nilionaga mahala mtu kashauri hivi, kwa mtuye haikufanya ila kwene iphone ikafanya. Kama vipi iaweza kuwa kitu kimejiachia ndani or chochote peleka iangaliwe.

Hold the sleep and the home buttons down at the same time until the Apple logo appears - ignore the red slider - let go of the buttons
*
Pia nenda kwenye website yao au google kunaweza kuwa na solutions zingine.

Inasikitika mtu unataka kununua badala ya kumsaidia hii ni tamaa au niseme roho mbaya. Weye si useme unataka inunulia nini.
 
Back
Top Bottom