Search results

  1. Zemanda

    Hii ndio maana ya ndugu lawama

    Ukiwa alosto huna mia ya kutu wanakukwepa. Kipindi kile cha kujitafuta ukiwapiga kirungu cha buku ya nauli au bundle ili uweze kufanya mawasiliano wanakupa majibu ya kilokole. Utasikia asiefanya kazi na asile. Au, wewe una mikono miwili na miguu miwili na macho mawili unaomba walemavu...
  2. Zemanda

    Nahitaji maziwa ya unga ya jumla kwenye viroba.

    Habari wadau. Nahitaji maziwa ya unga kiwango cha jumla. Yaani kama nipate mtu wa kiwandani ambaye ataweza nifaulishia wastani wa kilo 500 kila wiki. Nani ana connection? [emoji848]
  3. Zemanda

    Nahitaji eneo lisilopungua Ekari 3 kukodisha/kununua.

    Habari Nahitaji eneo lenye ukubwa wa Ekari 3 kuendelea hata 5 au 6 sio mbaya kwaajiri ya kukodi na kama tutaelewana naweza kubaliana kufanya manunuzi. Nataka liwe maeneo ya kuanzia kibaha hadi chalinze. Au maeneo ya Bagamoyo. Lisiwe ndani ndani sana maana sio vizuri eneo kuwa ndani sana...
  4. Zemanda

    Tufute Upotoshaji kuwa mwanaume na mwanamke ni Sawa.

    Inaonekana kwasasa jamii yetu na ya Dunia kwa ujumla ina struggle katika kujua sifa za asili za mwanamke kwa kuzingatia misingi ya mahitaji ya kijinsia. Tokea kuumbwa kwa ulimwengu viumbe viliumbwa katika msingi wa kutegemeana ili kuweza kufunction katika dunia hii na kuishi. Mfano ukienda...
  5. Zemanda

    Hebu tupeane Details kuhusu Gari Mazda CX-5 especially hii ya 2014

    Habari wadau. Naomba kufahamu zaidi kuhusu hii gari kwa maana sijaona nyuzi nzuri za kuielezea kwa undani. Je, huwa zinachangamoto gani kimatumizi? Naiskia huwa inaleta shida katika mfumo wake wa DFP kwa hizi zinazotumia mafuta ya diesel. Je suluhisho lake ni lipi? Nasikia zipo vema eneo la...
  6. Zemanda

    Tofauti ya Kufanya mapenzi, kujamiiana na ngono

    Watu huchanganya sana matumizi sahihi ya haya maneno ambayo hutumika kumaanisha ujumbe tofauti though huonyesha jambo lile lile. Kitendo cha mwanaume na mwanamke kuvuliana nguo na kuingiliana huonekana ni kile kile katika mazingira yoyote yatakayomkutanisha mwanamke na mwanaume maeneo yao...
  7. Zemanda

    Reality of gender logic and emotional dynamics

    Katika umri mdogo kijana anamtamkia binti maneno anayoumba kutoka katika akili yake na majibu ya binti yatashtua mapigo ya moyo ya kijana aidha kwa wasi wasi au mahaba. Wakati wa umri mdogo kijana anaitazama ulimwengu kwa namna ya matarajio na kwasababu anakuwa mgeni na maisha huwa anajawa na...
  8. Zemanda

    Ulitumiaje nafasi yako ya ku-revenge kwa Ex aliyekufanyia Makusudi?

    Sote tunafahamu ukali wa maumivu ya moyo na mwili pale unapo mpenda na kumuamini mtu halafu analeta ufala na kuishia kukuumiza. Hii hali linapotokea huwa inakuacha na maumivu makali sana ambayo huchukua muda kupoa na kuisha. Kuna ambao tiba ni kusamehe na kusahau na kuanza upya, kuna wale ambao...
  9. Zemanda

    Kuna Hii kitu inaitwa "Convert Incest", njoo nikuelezee.

    Covert Incest au Emotional incest ni aina ya unyanyasaji ambao unahusisha mzazi/mlezi kutegemea msaada wa kisaikolojia au ushauri wa kisia kutoka kwa mtoto wake ambao alitakiwa kuupata msaada huo kutoka kwa watu wazima wenzake anaolingana nao au waliomzidi umri. Neno covert humaanisha siri au...
  10. Zemanda

    Wadada wenye tabia hizi nawachulia kama Sociopaths

    Sociopath ni mwendawazimu au mtu asiye na utimamu wa akili yake kufanya kazi sawa sawa kutokana na kuathiriwa na changamoto za kimaisha kama stress, ugumu wa Maisha, madeni, malezi mabovu na kadhalika. Kuna hawa wadada eneo la mahusiano wanatabia zifuatazo mimi huwa nawaona kama sio timamu...
  11. Zemanda

    Kwanini ni mwiko kumnyima mtu chakula?

    Watu wengi wanasikia tu kauli kuwa sio vizuri kumnyima mwenye njaa chakula lakini wengi wao hawana ufahamu hata kidogo kwasababu gani ni mwiko na kosa kumnyima mtu chakula. Kuna wengine anaweza kuwa na chakula ndani ila akamnyima mtu sababu ya uelewa mdogo wa elimu ya kwann mtu apewe chakula...
  12. Zemanda

    Kwanini watu hufeli mahusiano kila wanapoanza upya?

    Mahusiano ya kimapenzi ni sehemu nyeti sana ya maisha ya mwanadamu na ndipo sehemu kubwa ya Maisha hufanyika au ni muda mwingi huwa tunatumia katika kufanya maisha yetu. Kuna watu wanaopata nafasi ya kupata mahusiano ya kudumu muda mrefu ambayo huwapa nafasi ya kuambatana na mtu m'moja katika...
  13. Zemanda

    Born 2000's kids mwaka huu 2024 watafunga miaka 24 rasmi

    Aisee muda unakwenda kwa kasi ila mambo au maisha yanakwenda taratibu nadhani sijui kwa wengine. Imagine madogo waliozaliwa mwaka 2000 huu mwaka watasheherekea birthday ya kutimiza miaka 24. Huu ndio umri wa mtoto wa kike kuwa au kuanza familia na mwanaume wa ndoto zake. Huwa nacheka sana...
  14. Zemanda

    TANESCO ifutwe tu tuanzwe upya na biashara ya umeme

    Kiukweli shirika takataka lisilo na faida kwasasa tukiachana na TTCL basi ni Tanesco. Hakuna na wala binafsi sioni faida ya hili shirika ambalo linaendeshwa kipigaji kuendelea kuwapo huku likisababisha hasara na usumbufu kwa watanzania as if tunapewa umeme bure. Hivi inafaida gani kwa miezi 5...
  15. Zemanda

    Wagonjwa wa "Red eyes" muwe wastarabu

    Habarini wadau. Kuna maambukizi ya ule ugonjwa wa macho mekundu almaarufu kama red eyes, ambao husababisha macho kuwasha, kuuma, kuwa mekundu sana, kuvimba na kutoa uchafu mwingi sana wa tongo tongo. Ni ugonjwa unaosambaa kwa kasi sana endapo tahadhari hazitachukuliwa mapema kutoka kwa walio...
  16. Zemanda

    Hebu naombeni mnipe maoni yenu juu ya hili

    Habarini wadau. Naombeni ushauri wenu kwenye hili bila kubagua nani atoe huo ushauri. Najuwa wengi wetu especially wanaume tumepitia ile hali (situation) ambapo kuna mwanamke ulimpenda sana kwa moyo wako wote na yeye alilifahamu hilo. Ila kwa kujua kuwa amependwa basi akatumia nafasi yake...
  17. Zemanda

    Inahitajika Noah kwaajili ya kukodi kwenye ofisi

    Habari zenu wajumbe. Inahitajika gari aina ya Noah, ikiwa NOAH box itakuwa poa sana kwaajiri ya matumizi ya kuzungusha wafanyakazi vituo vya kazi siku za kazi kuanzia jumatatu hadi jumamosi. Gari inatakiwa kukidhi vigezo vifuatavyo: 1. Iwe kwenye hali nzuri kwa maana isiwe spana mkononi. 2...
  18. Zemanda

    Wanaume, hii ndio namna ya kusonga mbele kiume

    Habari. Najua wengi mtakuwa familiar na hili neno kumove on sababu hutumika kumaanisha maisha baada ya kuvunjika mahusiano ya kimapenzi. Matumizi ya hili neno huwa hayafanani kimantiki au kiuhalisia kwa wanaume na wanawake. Namna ya mwanaume kumove on ni completely different and opposite ya...
  19. Zemanda

    Ukiona una vigezo hivi basi haujakamilika kiume

    Unaume (Masculinity) ni kinyume cha uanamke (Feminity) na hivyo basi ili uonekane au uweze kukamilika then kuna vigezo au sifa kadhaa ambazo zinatakiwa kuonekana ili kuweza kudhihirika uwepo wake. Zifuatazo ni baadhi ya dalili au viashiria vya mtu ambaye hajakamilika kuwa mwanaume. 1. Hasira...
  20. Zemanda

    Biashara ya Aluminum na accessories zake.

    How can i delete my thread? [emoji848]
Back
Top Bottom