Habarini wakuu.
Leo nilikuwa naangalia makala ya Africa News Channel YouTube ilikuwa inaelezea ubaguzi na hali duni ya maisha wanayokumbana nayo ya jamii ya Wairaq weusi. Nikagundua kuwa katika nchi nyingi watu wenye asili ya Africa huwa ndio wanaokuwa masikini kuliko makundi mengine...
Jana wakati wa matokeo ya uenyekiti kura ya hapana ilikua ni moja.
Ila leo aliposimama Rais Dkt. Shein ambaye alikuwa akisimamia zoezi la uchaguzi alisema alishangazwa na WATATU waliopiga Kura ya hapana, akesema ni haki yao kidemokrasia.
Sa which is which
Habari wakuu.
Ni mwezi wa nne Sasa tangu utumishi watangazi ajira kwa kada tofauti katika LGs and MDs Ila hadi mwezi huu hawaja ita watu kwenye saili.
Tatizo ni utumishi kuwa na watumishi wachache au ni kukosa accountability kwenye kazi zao?
Waziri Makamba anaonekana akifanya ziara mikoa ya Kanda ya ziwa, akiwa na lengo la kutoa elimu ya nishati.
Lakini ukichunguza vizuri ziara hii ina agenda zaidi ya kinachofanyika.
Ukichunguza vizuri lazima utafahamu lengo la ziara hii ni kujitafutia umaarufu na kujisafisha katika mikoa...
Wednesday, 30 December 2015
OBC - Hunters from Dubai and the Threat against 1,500 km2 of Maasai Land in Loliondo
It’s been some time since I wrote a summary about OBC and the 1,500 km2, a lot has happened, and there has been much misinformation, mostly from government and “investors”, but...
Habarini viongozi,
Naomba kama kuna mtu YEYOTE anefanya au aliewahi fanya kazi na World Vision anielekeze namna ya kuupload CV kwenye website yao ya ajira.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.