Search results

  1. Bakulutu

    Wapi maeneo ya Pwani naweza pata ng’ombe wa maziwa wazuri?

    Asee sasa Mh. Anaweza uza kweli! Sema nataka siku 1 nijaribu bahati yangu!
  2. Bakulutu

    Wapi maeneo ya Pwani naweza pata ng’ombe wa maziwa wazuri?

    Hawa wataalamu siku hizi wamekuwa zaidi ya madalali asee ! Nawajua sana ! Wengi wanataka wakuagizenhuku mbeya/ iringa kwa pesa wanazotaka wao..
  3. Bakulutu

    Wapi maeneo ya Pwani naweza pata ng’ombe wa maziwa wazuri?

    Pwani, Bagamoyo na Morogoro wapi naweza ng’ombe wa maziwa wakuuza? Wengi naona ni janda za juu na kaskazini. Nipe location au contacts kwa anaejua please!
  4. Bakulutu

    Pitia hapa unielekeze tiba ya kifua tafadhali

    Yes! Vitu vya baridi vinashida sana wengi hatujui
  5. Bakulutu

    Pitia hapa unielekeze tiba ya kifua tafadhali

    Asee daah muda umepita sana kwakweli, YES kwakweli na nshukur Mungu sana nilipona . Tena bila kutumia dawa yeyote ! Nilijagundua miaka mingi nimeteseka kumbe ni BIA ZA BARIDI ndio zilikuwa zinasabisha yote nlipo acha tuu basi nikapona 😁
  6. Bakulutu

    Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

    Hii ni XT or XS? Navyojua xt ina turbo kama ni mjapani ila xs haina labda kama hii from Singapore
  7. Bakulutu

    Haya ndio magari chaguo langu

    Nissan [emoji777] Nissan [emoji777] Nissan [emoji777] Nissan [emoji777]
  8. Bakulutu

    Hivi unajua unakatwa 10% na CRDB kila unatumia kadi yako ya kulipa kwa dola?

    Wanasema ziko kwenye bank charges sasa sijui wana amua wenyewe au laah
  9. Bakulutu

    Hivi unajua unakatwa 10% na CRDB kila unatumia kadi yako ya kulipa kwa dola?

    Hapo wamenipasua rate (2570 x216) +10% ambayo wamechukua zaidi 50478.2 badala ya 555120 kama kusingekuwa na hizo chaji [emoji35]
  10. Bakulutu

    Hivi unajua unakatwa 10% na CRDB kila unatumia kadi yako ya kulipa kwa dola?

    Kama ulikuwa hujui CRDB wanakukata 10% kwa kila unapolipa kwa Dola ($) kutoka account yako ya Tsh. Mfano juzi nimelipia 216$ nilikuwa na salio la Tsh. 618,591.67 mwisho nimebaki na 75,993.47. Japo wanadai hata mabenki mengine ndio hivyo hivyo. Hii sio sawa kabisa 10% ni kubwa sana asee kwa...
  11. Bakulutu

    Ni betri gani nzuri kwa gari aina ya IST?

    Ukiwa vizuri weka amaron, muhindi huyo hatari sana
  12. Bakulutu

    Msaada: Nichukue gari ipi kati ya hizi?

    Nani anawadanganya subaru hazina mafundi, ulisha enda pale kinondoni 0-60 garage ? Viti kuwa chini kuna tatizo gani? Au wewe ni mfupi sana, jua pia kiti kuwa chini inakupa stability barabarani kama gari ni nyepesi. Spare za subaru ziko kila kona, spare gani umetafuta ukakosa? Yawezakana hata...
  13. Bakulutu

    Probox au IST nivute ipi ?

    Mifuko 40? Hapa hapana ulichapia [emoji1] kilo 400 (probox) na kilo 450 (succed) almost mifuko 8 mpaka 10 wewe unasema 40 !!
  14. Bakulutu

    Probx vs Succeed

    Uongo ! Utakutana na iliopigika mpaka ikaita maji mma..
  15. Bakulutu

    Saa 48 ngumu kwa wachezaji Simba!

    Very true huwezi kuwa na amani na wachezaji hawa wa simba unga unga sana ..
  16. Bakulutu

    Saa 48 ngumu kwa wachezaji Simba!

    Niliwaambia onana alicheza ligi ya Rwanda haina nguvu kama ligi yetu .. ni kawaida saana.. mpaka sasa simba hatuna mshambuliaji kiongozi ambae anaweza fungu eneo lolote au eneo gumu kama alivyokuww Mayele.. we need bully striker hata 2
Back
Top Bottom