Search results

  1. M

    Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

    1.Beki kisiki wa Simba Che Malon Fondo anatarajiwa kuondoka ndani ya klabu hiyo mwishoni mwa msimu na kujiunga na mojawapo ya klabu katika nchi moja ya kaskazini mwa Afrika 2.Kiungo mshambuliaji wa Simba Clatus Chota Chama ambaye mkataba wake unamalizika mwishoni mwa simu huu hajaanza mazungumzo...
  2. M

    Pro-Chadema mbona huwa mnafurahi na kumdhihaki Pascal Mayalla anapokosa uteuzi?

    'Mayalla kwa kisukuma maana yake ni NJAA'-JPM
  3. M

    Hivi wanafahamu kuwa ukuta wa Yeriko uliangushwa kwa matarumbeta!!?

    Tena matarumbeta ya pembe za kondoo!
  4. M

    Ziara na Mikutano ya hadhara ya viongozi wa ACT Wazalendo na mabadiliko ya sheria ya TISS

    sijasoma,ndefu sana hii fanya summary upost tena!
  5. M

    FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

    Namna gani hapa TANESCO wanafanya yao!
  6. M

    Hatimaye VP Kamala Harris wa USA ameondoka sasa turudi kwenye Hoja kuu ya Ripoti ya CAG!

    kwa nini tusianzie pale kwenye trillion 1.5 za kwenye ripoti ya 019/2020
  7. M

    Vita ya Haji Manara dhidi ya wachambuzi wa mchongo

    umesahau kutandika reli
  8. M

    FT: Ligi ya NBC: KMC 0 vs 1 Yanga S.C: Uwanja wa Benjamin Mkapa, 22/02/2023

    leo kocha apumzishe kikosi cha kwanza hasa wale wale waliocheza mechi ya Mazembe napendekeza kikos hiki kicheze 1.Metacha 2.Bryson 3.Kibwana 4.Baca 5.Doumbia 6.Mauya 7.Ambundo 8.Sureboy 9.Mzize 10.Ngushi 11.Farid
  9. M

    Simba SC kukipiga na CSKA Moscow

    FIFA imezifungia klabu zote na timu ya taifa ya Urusi kushiriki michezo yoyote ya kimataifa ya mashindano au ya kirafiki kwa hiyo labda wanacheza na timu ya Kinondoni Moscow.Ikibainika Simba imecheza na timu kutoka Urusi TFF na Simba zitachukuliwa hatua kali sana na FIFA iKIwemo kufungiwa au faini.
  10. M

    The difference between Toyota VVTI and D4 Engines

    Kwa maana hiyo inawezekana kubadilishwa injini D4 ya RAV 4 ikawekwa ya VVTI?
  11. M

    Juma Mgunda usikubali kuwa kocha msaidizi , Uwezo wako ni mkubwa , tafuta timu uifundishe

    huyu kocha mpya alipwe mshahara sawa na aliokuwa analipwa Mgunda siyo apewe mshahara mkubwa kwa kuwa yeye ni mzungu,tumeshakubaliana watanzania walipwe sawa na wageni,Fei Toto ametufungua macho sana!
  12. M

    Afadhali Simba wakamilishe usajili wa Manzoki ili tetesi zake ziishe

    Timu haina basi itaweza kumsajili Manzoki, kweli?
  13. M

    Kesho lazima Argentina apewe penalti dhidi ya Ufaransa

    baada ya France kupewa penalty mbili mleta uzi ameingia mitini
  14. M

    Mbeya vs Simba: Leo tena maigizo yanaendelea!

    Heshima kwenu wakuu. Kama tunavyojua wote, Spika wa Bunge Tulia Ackson ni mwanachama na shabiki lia lia wa Simba Sports Club.Mh Tulia pia ni mbunge wa Mbeya mjini na ni mlezi na mafadhili wa Mbeya City FC lakini mapenzi yake yamelalia zaidi kwa Simba kuliko Mbeya City.Hivyo basi mechi ya leo ni...
Back
Top Bottom