Search results

  1. Msaidizi Mkuu

    Simulizi: Mji tulivu ulionipa ugonjwa wa milele

    Sehemu Ya Kwanza (1) Maisha wakati mwingine si jitihada pekee zinazoweza kukutoa sehemu moja kwenda nyingine, kuna wakati bahati inahusika katika maisha. Si kwa wote lakini mimi nilibahatika kuwa mtoto kutoka familia ya kimasikini ambaye baadaye nilienda kusoma na kisha kupata kazi nzuri...
  2. Msaidizi Mkuu

    Neno moja kwa mama mkwe, tuone upande wa pili wa wakwe zetu

    Habari wakuu, hope mko poa kabisa. Leo nimeona tuone upande wa pili wa wakwe yaani mama wakwe zetu. Tupia neno lolote kwa mama mkwe wako hapo chini tujue mama wakwe wanatabia gani au wapoje. Kuna rafiki yangu mmoja alisema namshukuru mama mkwe wangu kwa kunizalia kituu maana kila siku...
  3. Msaidizi Mkuu

    Mahaba ya mwalimu: Hadithi fupi ya kusisimua

    Habari wakuu. Hope mko poa mnaendeleza mapambano dhidi ya janga kuu la umaskini nami nikaona si haba kuwaletea kijistori kidogo tuserebuke nako kwenye moja na mbili. Stori inaanza kama ifuatavyo: Nilitamani muda wa vipindi darasani umalizike ili iweze kutimiza ahadi niliyokuwa naisubiri kwa...
  4. Msaidizi Mkuu

    Nini maana ya 'Kwa Mpalange'

    Habari wadau wa jamvini, Hope mnaendelea vizuri na mapambano ya kitaifa na uchumi wa kati. Nilikuwa nataka kujua na kufahamu maana halisi juu ya huu msemo uliozuka wa kwa Mpalange. Juzi kati nilikuwa kwenye usafiri wa umma yani daladala mbele yangu walikua wamekaa wasichana wawili mmoja wao...
Back
Top Bottom