Search results

  1. Kifimbo Cheza

    TANZIA Mwl. Ndosi aliyefundisha Shule ya Msingi Muhimbili afariki dunia

    Kipindi hicho huku Tambaza SS akuwepo mkali wa Maths alikuwa anaitwa Mwl. Sindato, naye alikuwa anatembeza viboko balaa😁😁😁😁
  2. Kifimbo Cheza

    TANZIA Mwl. Ndosi aliyefundisha Shule ya Msingi Muhimbili afariki dunia

    Nilisoma Tambaza SS jirani na Muhimbili PS tulikuwa tunasikia habari za Mwl. Ndossi enzi hizo old 80s, Oooh RIP Mwalimu!! Pale Kibasila PS tulikuwa waalimu maarufu Mwl Chale, Mwang"onda na Mwl. Makinda huyu ni Ke, walikuwa wantembeza sana mboko hawa siku wakiwa zamu, daah imekuwa historia sasa!!!
  3. Kifimbo Cheza

    Nilizopata muda huu kumhusu Mfanyabiashara katili Soko la Kawe Bwana Cherehani ni kwamba ameshakamatwa

    MmmmmHHH!! Hapo kwenye red panafikirisha sana!! KUMBE NI YEYE MLETA UZI.
  4. Kifimbo Cheza

    Apostle Dkt. Boniface Mwamposa avunja rekodi zote Uwanja wa Mkapa, asema kwa Mungu hakuna mashindano

    Kwa hiyo waliojaa Muhimbili na kwingineko hakuna mwenye Imani, kweli majuha mpo wengi sana nchi hiii
  5. Kifimbo Cheza

    Mwenye historia ya huyu mtu anayejiita mtume Mwamposa atuwekee hapa

    Tayari umepiga kwenye Mshono tena ukiwa gizani, maana wameanza kupiga mayowe😂😂😂
  6. Kifimbo Cheza

    Mwenye historia ya huyu mtu anayejiita mtume Mwamposa atuwekee hapa

    Tafadhali jamani mwenye historia ya maisha ya Huyu mtu anayejiita mtume Mwamposa naomba atuwekee hapa, maana anazidi kuwapiku wenzake wakina Lusekelo, Malisa, Kakobe, Mwingira wengine wa type hiyo hapo Tanzania.
  7. Kifimbo Cheza

    TANZIA Dkt. Mwele Ntuli Malecela afariki Dunia, aligombea Urais wa JMT 2015

    Kumbe Mkuu tulikuwa wote TAMBAZA kipindi hicho................, Enzi za Mheshmiwa HH MWINYI, Mheshimiwa JAMES MBATIA nk.
  8. Kifimbo Cheza

    TANZIA Dkt. Mwele Ntuli Malecela afariki Dunia, aligombea Urais wa JMT 2015

    R.I.P Dr. Mwele, tulikuwa naye Tambaza yeye akiwa A-Level nasi tukiwa O-Level, alikuwa mdada asiye na makuu!!!!!
  9. Kifimbo Cheza

    Amepata kazi Bunda mkoani Mara. Vipi wenyeji wa huko?

    Mabinti wanaozalia nyumbani wanawaita WASIMBE, ila wajita wapo PISI kali aisee 🤣🤣🤣
  10. Kifimbo Cheza

    Amepata kazi Bunda mkoani Mara. Vipi wenyeji wa huko?

    Umesahau Wanamajungu kweli na ukabila wanapokuwa wamechanganyika na makabila mengine.
  11. Kifimbo Cheza

    Amepata kazi Bunda mkoani Mara. Vipi wenyeji wa huko?

    Hapana Ukerewe kuna Wakerewe lakini tabia zao zinafanana hata lugha zao pia zina muingiliano wa baahi ya maneno, pia Wajita wapo hadi ukerewe.
  12. Kifimbo Cheza

    #COVID19 Marekani inatarajia kutoa 'booster vaccine' kwa watu wote waliopata chanjo

    Wewe si haujachanja? wakati huo kirusi DELTA atakuwa ameshakufyekelea mbali :p:p:D
  13. Kifimbo Cheza

    Mashine ya kunyanyua vitu vizito (crane) bandarini Dar Es Salaam yatumbukia baharini

    Siyo hawamu na wewe ni awamu. mnaharibu kiswahili jamani!!
  14. Kifimbo Cheza

    Mashine ya kunyanyua vitu vizito (crane) bandarini Dar Es Salaam yatumbukia baharini

    Huyo anayemwajiri mtangazaji mwenye tatizo hilo naye pia hajielewi!! nikisikia tu mtu wa hivyo na puuza hata anachokitangaza!!!!!!!!!!! Eti BANDALI.............KLENI...........BAHALINI.......
  15. Kifimbo Cheza

    TANZIA Aliyekua Afisa elimu Wilaya ya Magu ndg Jesse Kaanyuma afariki dunia hospitali ya Muhimbili

    Wewe ni Mgeni Kwenye Utumishi wa umma, kwa taarifa yako Afisa Elimu Wilaya ni kiongozi mkubwa hasa ukizingatia idadi ya watu anaowaongoza kuanzia waalimu hadi wanafunzi wa chekechea, msingi na Sekondari. Sikuelewi unaposema eti ni MTU Mdogo sana. Acha dharau wewe JUHA!! RIP YESSE!! Mimi siyo...
  16. Kifimbo Cheza

    Kwa makosa haya ya uandishi wa maneno unaofanywa na waandishi wa habari hivi BAKITA ipo hai au imekufa?

    Nimekuwa nikifuatilia uandishi wa Waandishi mbalimbali wa Habari na watumiaji wa mitandao hii ya kijamii. Kumekuwa na uandishi mbovu wa lugha ya kiswahili lakini Baraza lipo kimya bila kukemea upotoshwaji wa lugha yetu adhimu ya kiswahili. Mfano wa uandishi mbovu unaokera Ui ule wa neno siyo...
  17. Kifimbo Cheza

    Naomba kufahamu umri wa Bwana Kangi Lugola

    Mkwawa ilikuwa ni A-Level/Chuo inayofundisha Sub Combination kama vile PM, CM, CB nk. Walikuwa wanasoma na somo lingine lililokuwa linaitwa Education, halafu wanafanya mtihani wa form six kisha wanaongeza mwaka mmoja wanasoma Education Methodology halafu wanatoka Na Diploma ya Ualimu,ukifaulu...
  18. Kifimbo Cheza

Back
Top Bottom