Search results

  1. A

    Kifo cha Dkt. Magufuli chaacha sintofahamu kubwa kwa wafanyakazi

    Tukiwa bado tunaendelea na maombelezo ya Rais wetu, mchapa kazi hodari, mtu wa matokeo, msimamizi makini wa pesa za uma, mwenye kuhakikisha kuwa pesa iliyotolewa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi inatumika kwa malengo husika na aliyetufundisha mengi na hasa uthubutu wa kuyaendea mambo. Kwa...
  2. A

    Mkulima Tajiri

    *Utangulizi* Kampuni ya *Kinasoru East Africa (T) Ltd* inakuletea semina kubwa na ya aina yake ya *Mkulima Tajiri.* *Mkulima Tajiri* ni mfululizo wa semina zinalenga kutoa elimu na mwamko mpya wa Kilimo Mkataba kwa mazao tuliyo na masoko nayo. Kwa kuanzia tutaanza na semina ya Kilimo Mkataba...
  3. A

    KILIMO EXTENSION SERVICE (KES)*

    Hii ni huduma mpya kutoka kwenye kampuni yako pendwa ya Kinasoru East Africa (T) LTD. Ni huduma inayolenga kujibu changamoto za wakulima na wafugaji katika mnyororo wa uzalishaji wa mazao ya kilimo na mifugo. Ukiwa na changamoto yoyote ya Kilimo na ufugaji, maswali ya ufahamu, kutaka kujua...
  4. A

    Barua ya wazi kwa Mheshimiwa Rais Dokta John Pombe Magufuli

    Shikamoo Mheshimiwa Rais. Awali ya yote nikupe pole kwa majukumu mazito tuliyokutwika. Mhemiwa Rais, nakuandikia barua hii nikiwa mtanzania kamili ninayetokea mkoa wa Ruvuma wilaya ya Namtumbo. Kwanza nikupongeze kwa kufanya ziara mkoani kwetu kwa hakika tulikumiss sana. Tunajua ujio wako ni...
  5. A

    Karibu kwa fursa hii ya Pilipili Kichaa

    Ni kuhusu kilimo biashara. Unapoamua kulima lazima akili ilenge faida. Hukuna tena kulima kwa kubahatisha au kufuata mkumbo. Kwa msingi huo, ndiyo maana Kampuni yetu ya Kinasoru East Africa (T) Ltd kwa kushirikiana na wadau wetu tukaja na kilimo cha mkataba kilimo ambacho mkulima unalima ukiwa...
  6. A

    Get soya beans and pegion peas from Kinasoru East Africa (t) ltd

    In a next season, starting from may next year, 2019, we expect to harvest about 1000 tones of Soya Beans and 2000 tones of Pegion Peas from our out grower farmers in Tanzania. The farm gates prices will be TZS 800/= and 1000/= respectively for each Kilogram. Deliverance service of these...
  7. A

    Soko la uhakika la viazi lishe, changamkia upesi, lisikupite!

    Katika kuwajali wakulima wetu na kutambua mahangaiko yao kwenye masoko ya mazao wanayoyazalisha, kampuni ya kinasoru East Africa Tanzania Ltd imepata soko la uhakika la kuuza viazi lishe nje ya nchi kupitia wakala wao aliyepo hapa nchini. Wakati naitambulisha kwa mara ya kwanza fursa hii mpya...
  8. A

    SUGECO imefungua njia kwa vijana wajasiriamali katika Sekta ya Kilimo na Biashara

    Vijana wengi wa Tanzania tuna shida kubwa katika bongo zetu. Tumegeuka kuwa jamii ya kulaumu na kulalamika badala ya kuchukua hatua.Tunapenda urahisi. Tunasahau kuwa zama zimebadilika. Hatufikirishi vichwa vyetu kujaribu kutumia japo sehemu ndogo ya elimu tuliyoipata chuoni kutafuta fursa za...
  9. A

    Pata Elimu ya kufuga Kuku

    Kutokana na shauku kubwa ya watu kutaka kufanya mradi wa ufugaji wa kuku kwa ajili ya kujiongezea kipato nimeona niendeshe mafunzo maalum ya kuwajengea uwezo wafugaji na watu wote wenye nia ya kutaka kufanya mradi wa ufugaji wa kuku kama kazi. Mafunzo haya ni ya siku tatu. Yataanza rasmi siku...
  10. A

    Tusimdhihaki dereva wetu

    Dereva ni mtu muhimu sana. Kazi yake kubwa ni kusafirisha abiria kutoka sehemu moja hadi nyingine. Amepewa dhamana ya kubeba roho za watu. Ni wajibu wake kuhakikisha usalama wa abiria wake toka mwanzo wa safari hadi mwisho wake. Abiria nao wana wajibu mkubwa wa kutoa ushirikiano kwa dereva...
  11. A

    Tunakupatia elimu jinsi ya kujipanga Kustaafu

    Kinasoru East Africa Tanzania Ltd inatoa fursa ya mafunzo ya uendeshaji wa mradi wa ufugaji wa kuku, utotoreshaji wa Vifaranga, Utengenezaji na Uandaaji wa vyakula mbalimbali vya kuku, Utengenezaji wa funza na mchwa, Namna ya kuwafanya kuku wasiyotaga waweze kutaga vizuri, pamoja na namna bora...
  12. A

    Mh.Rais Magufuli, waliotimuliwa kwa kashfa ya vyeti feki wapewe japo mafao yao, ni jasho lao halali

    Kichwa changu huwa kinawaza sana. Lakini uwazaji wake ni tofauti kidogo. Najaribu kutazama mambo kwa upande wa pili japo si kwa nia mbaya bali kwa lengo la kutafuta amani ya nafsi na si nafsi yangu bali nafsi za waliyokutwa na maswahibu kadhaa wa kadhaa. Serikali ya awamu ya Tano inapiga kazi...
  13. A

    TIMU YETU YA MAJIMAJI, NI FAHARI YETU WANA WA RUVUMA

    Pamoja na changamoto za kifedha zinazowakabili lakini bado mnaendelea kupambana kiume kuhakikisha kuwa mnaendelea kubaki katika ligi kuu Tanzania bara. Tunawashukuru kwa roho yenu na moyo wenu wa kizalendo kwa mkoa wetu wa Ruvuma. Sisi wana wa Ruvuma tuko nyuma yenu, tunawaunga mkono sana...
  14. A

    Fursa katika kilimo cha viazi lishe, tuchangamkieni upesi

    Viazi lishe ni aina ya viazi vitamu vyenye mwonekano wa rangi ya njano kwa ndani vikimenywa. Viazi lishe ni biashara mpya katika kilimo biashara ambacho hakijamulikwa vyema na wakulima wetu. Hii ni fursa muhimu na ya kipekee kwa wakulima wanaolenga utajiri kutokana na kilimo. Kwa kifupi huku...
  15. A

    Naona lugha gongana katika ujenzi wa mnara wa Babeli

    Nakumbuka siku za nyuma Chama cha Mapinduzi CCM kilielemewa sana na upinzani wakati wa katibu mkuu mzee wetu Yusuph Makamba na baadae Bwana Wilson Mkama. Upinzani ulishika hatamu, kila kona walitawala wao kuanzia kwenye vyombo mbalimbali vya habari, mitaani, kwenye vijiwe vya kahawa na hadi...
  16. A

    Dkt. Johansein Rutaihwa: Kiatu cha ubunge wa Afrika Mashariki kinanitosha, nivalisheni niwatumikie

    Nafasi ya ubunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ni sehemu mojawapo ambayo nchi inapata wawakilishi wake katika Jumuiya hiyo ukiachana na nafasi ya ajira za moja kwa moja zitolewazo na Jumuiya hii. Ni sehemu nyeti sana kwa nchi katika kupata watetezi kwenye masuala yanayohusu nchi kwenye Jumuiya...
  17. A

    Kuongoza watu si kazi nyepesi

    Unaweza ukatamani uongozi lakini ukifikiria ugumu wa kuongoza watu, ile tamaa yote uliyokuwa nayo inaweza ikakuishia mara moja. Taharuki zimekuwa nyingi. Ni kama gari linapoendeshwa, dereva mara kwa mara anapangua gia moja baada ya nyingine na gari inakwenda. Haipiti muda bila kuibuka kwa...
  18. A

    Kuwa na mabanda bora ya kuku ni mtaji

    Unapofikiria kufanya mradi wa ufugaji wa kuku , hitajio la kwanza na la muhimu ni kuwa na mabanda bora ya kufugai kuku wako. Kwa bahati mbaya sana ujenzi wake umekuwa ghali na hivyo kuwakatisha tamaa watu wengi wanaohitaji kuanza mradi huo. Katika hali ya kawaida vijana wengi wanaomaliza vyuo...
  19. A

    Ukitaka kufanikiwa usichague kazi

    Hapa kazi tu. Siangalii aina ya kazi, ninachoangalia ni uhalali wa kazi. Kazi yoyote halali nitaifanya ilimradi tu wajibu wangu kama Baba kwa wanangu, kwa mke wangu na wategemezi wangu nautimiza. Kuchagua kazi kwangu ni mwiko. Elimu yangu si kikwazo kwangu kufanya kazi zilizo nje ya taaluma...
  20. A

    Rais wetu Dr. John Magufuli legeza kidogo baba

    Shilingi imeadimika, tunahangaika kila kona kuitafuta, imegeuka kama almasi. Imekuwa adimu mtaani na maisha yamebadilika sana. Matumizi ya watu kwenye pesa yanafanyika kwa hesabu kali na mzunguko wa pesa umepungua sana . Wakulima wanalia, wafanyabiashara halikadhalika. Uwekezaji umeshuka. Ajira...
Back
Top Bottom