Search results

  1. Cryspina

    Rafiki yangu anaomba ushauri

    Nina rafiki yangu ana rafiki yake ambaye sipo nae karibu sana. Tulikuwa tunaongea juzi tukiwa tumekunywa wine kidogo. Katika story akaleta confession baada ya kunambia kisa cha rafiki yake. Alisema huyo rafiki yake kuna siku alikuwa yupo nyumbani na shoga ake walikuwa wamelewa sana na kupuliza...
  2. Cryspina

    Wadada njooni niwape mpya, wakaka msahihishe panapohitaji usahihi

    Habari ya jumapili. Jana tukiwa dinner na gurls, pamoja na rafiki wengine wa kiume,tulijikuta tumeingia katika mjadala juu ya maswala ya wanawake kuomba pesa wanaume na wanaume kutokupenda kuombwa hela, pamoja na swala zima la kujitambua kifikra, finance, kutafuta mali, kujenga Wealth, na kuwa...
  3. Cryspina

    Ni nini kilitokea kati ya huyu dada na mtoto wa Mchungaji Mwakasege?

    Nilikuta post mtandaoni, kwenye page moja ya mdada maarufu wa kuchamba kama dada Mange Kimambi. Sasa nikashtushwa sana kuona amemuhusisha huyu dada ambaye alishawahi kuwa Miss Tanzania na mtangazaji kipindi cha Nirvana pale studio za East African TV (LiLian Kamazima) na kifo cha kijana wa...
  4. Cryspina

    Wanaume njooni tuongee

    Wanaume ninyi ndio baba zetu na viongozi wetu. Mbona mnakubali kubaki nyuma katika jamii na kuacha mambo yafeli? Ni nani atakuwa mtetezi wetu sisi akina mama na watoto kama ninyi mnaogopa na mnakuwa wadhaifu. Najua na sisi kuna vijitabia ambavyo huwakwaza na kuwafanya mkose morali ya kushika...
  5. Cryspina

    Ladies, let’s do the real talk...

    A guy unamkuta ana nyumba, ana usafiri, ana biashara yake na kazi yenye kipato kizuri. All of this umekuta ameaccomplish mwenyewe bila ya wewe. Then unakuwa attracted na this type of a guy na kumpa all of your attention na moyo ili muwe pamoja. But the problem inakuja kwenye swala moja...
  6. Cryspina

    Naombeni ushauri wa haraka kwa niaba ya rafiki yangu kipenzi

    Habarini. Waungwana nakuja mbele yenu na majanga ya rafiki yangu kipenzi na ninahitaji ushauri wenu wa busara. Naomba tusilifanyie hili swala nitakaloleta hapa mzaha bali ninaomba tushauriane kwa busara na hekima ili mimi nimshauri huyu rafiki yangu. Ipo hivi, nina rafiki yangu best sana...
  7. Cryspina

    Mvuto wa Kitovu cha mwanamke

    Hello guys.. Hebu leo tujadili juu ya hili kovu la kuzaliwa nalo ambalo hugeuka tena kuwa kachumbari ya mahaba na kuleta msisimko wa nguvu mara tu sehemu hii inapoonekana especially kwa wanaume pale mwanamke napoamua kujiachia. Sina uhakika sana kama wanaume huvutiwa na vitovu vikubwa kwa...
  8. Cryspina

    Familia ni jambo la muhimu sana kwa Mwanaume na Mwanamke

    Najiuliza bila familia leo mimi ningekuwa wapi? Ningekifunzaje tofauti ya upendo wa kiume kutoka kwa baba na kaka zangu na upendo wa kike kwa mama na dada zangu. Najiuliza ile financial security ya familia na ndugu ningepata wapi? Vijana tujenge na kuishi kwa misingi mizuri ya kuheshimu na...
Back
Top Bottom