Search results

  1. Mchana

    Katibu BMT ang’olewa, Kiganja aula

    WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye ametengua nafasi ya Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo, Henry Lihaya na sasa nafasi hiyo itashikiliwa na Mohamed Kiganja. Nnauye akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za BMT katika kikao kilichohudhuriwa pia na Lihaya pamoja...
  2. Mchana

    Canter Tani 2 (dump truck) inahitajika

    Wakuu heshima yenu. Tafadhali naomba kama kuna mtu anajua mtu anayeuza Mitsubish Canter tani 2 anijulishe. Ni zile zinazotumiwa sana na wenye site za kufyatulia matofali, wauzaji wa maji nk. Na mara nyingi ni za rangi ya Blue
  3. Mchana

    Natafuta Projector ya kuonyeshea Mpira

    Wakuu naomba mnijulishe mahala ninapoweza kununua kwa bei nzuri projector kwa ajili ya kuonyeshea mpira. Pia naomba ushauri kwa wale wenye uzoefu, ni Projector gani nzuri kwa picha pamoja na bei ya kuridhisha?
  4. Mchana

    Eneo karibu linalopakana na barabara ya Morogoro maeneo ya Kibaha kama heka 3 linahitajika

    Wakuu linatafutwa eneo linalopakana na barabara ya Morogoro eneo la Kibaha lenye ukubwa wa heka 3 au zaidi kwa ajili ya kufungua yard. Tafadhali kama kuna mtu anafahamu upatikanaji wake atupie details au mawasiliano hapa. Natanguliza Shukrani
  5. Mchana

    Foleni ya Kudumu Kimara darajani asubuhi na jioni na ujenzi wa barabara unaofanywa na Strabag

    Wana JF tunaishukuru serikali kwa ujenzi wa barabara hii. Ila kuna kitu nashindwa kukielewa. Sehemu ya daraja la kimara imekuwa ikiwatesa sana wakazi wa kimara mbezi kibamba na waendao mkoani kutokana na njia kubanwa sana hivyo kutengeneza foleni isiyokuwa ya lazima asubuhi na jioni. Hali hii...
  6. Mchana

    Msaada: Ipad2 3G - Kununua kifurushi cha Internet

    Wakuu ninayo Ipad2 3G ,inatumia line ya Airtel Microsim card. Microsim yenyewe ni simcard ya kawaida ambayo imekatwa kuipunguza,,kwani wao hawana sim card hizi ndogo. Tatizo ni kuwa ipad haina function ya simu ili niongeze salio na kununua kifurushi cha internet let say 400MB. Kabla sijaikata na...
  7. Mchana

    Macbook pro

    wakuu! ndugu yangu yuko dar anaomba msaada wa kuelekezwa mahali pa kununua laptop ya mac kwa bei nzuri, iwe mpya au used. please saidia
  8. Mchana

    Naulizia upatikanaji wa IPHONE Bongo

    Wakuu heshima kwenu. Tunaomba mtujulishe ni wapi mtu anaweza kupata apple IPHONE kwa bei nzuri hapa bongo, new/used? 2G / 3G. Pia mliokwisha kuzitumia tupeni wasifu wake hasa kuhusu uwezo wa betri yake na speed yake katika kufungua kurasa za mitandao
  9. Mchana

    Naomba msaada wa ku - unlock Blackberry 8320

    Waheshimiwa naombeni busara zenu na msaada kwani najua hapa ni kitovu cha mambo yote. Kuna mshkaji wangu ameniletea Blackberry kutoka USA iliyokuwa katika contract ya T-Mobile aina ya Blackberry 8320. Naomba ushauri ni wapi niifungulie hapa bongo. Hint inatakiwa kufunguliwa kwa kutumia...
  10. Mchana

    Tafadhali nisaidieni hesabu hii

    Wageni watatu walikwenda kupanga chumba kwenye hoteli kilichokuwa kikipangishwa kwa Tshs 30,000. Kila mmoja alichanga shs 10,000 na kumkabidhi mhudumu. Bosi w ile hoteli alipoletewa zile pesa alimweleza mhudumu kuwa chumba kile bei yake ilikuwa ni Tshs 25,000 na sio 30,000, hivyo akamwamuru yule...
Back
Top Bottom