Habali wana jf natafuta kazi ya maabara (medical laboratory) nina uzoefu wa kutosha, nipo dar nitanguliza shukulani. my phon, number 0652-011020. mbalikiwe wana jf.
Abali zenu wanajanvi kuna binti nakaa nae mtaa mmoja nimetokea kumpenda sana nataka awe mchumba wangu kwasababu nimelidhika na tabia zake nimemwambia kuwa nampenda awe mchumba wangu hakunipa jibu la ndio kasema nisubili anichunguze nimejalibu ku2mia malafiki zangu lakini wapi atoi jibu la ndio...
iyo ata me imenitoke juzi kati kuna binti nilisoma nae juzi nipo ilala nikamuona akajifanya kanisahau nikaanza kujitambulisha mtu mzima badae sana akajifanya kunikumbuka nikamuomba namba kwasababu nilikuwa nawai kazin akachomoa kwamba cmu kaacha ofini kwake na akumbuki namba yake kichwa, cjui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.