Search results

  1. TzCampusVibe

    CCM yahoji msimamo wa Chadema kuhusu ushoga

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutoa msimamo wao kuhusu ushoga hasa kutokana na urafiki uliopo baina ya chama hicho na Chama cha Conservative cha Uingereza kinachoongozwa na Waziri Mkuu, David Cameron. Kauli hiyo ya CCM imetokana na kauli...
  2. TzCampusVibe

    Tanzania govt on Homosexuality: We can do without UK aid

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe alitoa msimamo huo leo Jijini Dar es Salaam akisema huko ni kwenda kinyume na sheria na utamaduni wa nchi yetu inayotambua ndoa ya mme na mke kama kiini cha familia. Alitoa msimamo huo kufuatia kauli ya Waziri Mkuu wa...
  3. TzCampusVibe

    Blog mpya ya wanafunzi wa elimu ya juu.

    Asanteni wote kwa michango yenu na changamoto zenu, 1. Imebase sana SAUT kwasababu wanaondesha ni mwanafnzi kutoka SAUT lakini blog inajitihadi kupata habri nyengine toka vyuo mbalimbali nchini kama baadhi ya post nilizotuma kwenye blog, hata vyombo vingi vya habari vilivyo Daar es salaam...
  4. TzCampusVibe

    From saut-students organization president presents: “taking control of africa’s educational future c

    Dear friends, In consideration of the fact that the “the taking control of Africa’s Educational Future – Conference” to be held on 16th to 18th November 2011 at the St. Augustine University of Tanzania, in Mwanza, Tanzania, is inherently aiming at bringing stakeholders of education from all...
  5. TzCampusVibe

    Blog mpya ya wanafunzi wa elimu ya juu.

    Hii ni blog inayotoa habari zinazotoka taasisi za elimu ya juu ndugu Connetected Guy kwaiyo hao wote wanaruhusiwa kublog na wanakaribishwa sana. Tutumie tu habari kama unazo kutoka huko na sisi tutazipublish kulingana na malengo yetu. Asante.
  6. TzCampusVibe

    Blog mpya ya wanafunzi wa elimu ya juu.

    Habari ndugu yangu. Si kwamba hii blog haaisomwi na ambao hawasomi la hasha bali hii blog inarusha habari zinazotokea vyuoni lakini jamii yote inaweza kusoma habari hizo kwani kuna matukio mengi sana yanatokea kwenye vyuo amabayo yanaelimisha jamii lakini hayapati nafasi kwenye vyombo vya habari...
  7. TzCampusVibe

    Blog mpya ya wanafunzi wa elimu ya juu.

    @Rutunga mawazo mazuri kabisa ni kweli lakini kila kitu kina mwanzo wake na si swala la kwamba haiwezekani kufanya hivyo bali ni uwamuzi wa kuanza kuangalia kipi kinafaa kufanya kwa wakti huo na muda ukiwadia wa kufanya lengine zaidi basi litafanyika hakuna lisilowezekana katika dunia hii...
  8. TzCampusVibe

    Blog mpya ya wanafunzi wa elimu ya juu.

    Wanafunzi wa Elimu ya juu sasa wanauwanja mpana wa kutoa na kuhabarishana taarifa mbalimbali zinazotokea ndani na nje ya chuo ambazo zinahusu maisha mazima ya elimu ya juu nchini. tzcampusvibe | Life of University Students ni jukwaa jipya la wasomi kuweza kutoa habari za kinachoendelea chuoni...
  9. TzCampusVibe

    Bodi ya mikopo: Hakuna mkopo kwa walioomba kutokana na uhaba wa bilioni 28.

    Bodi ya mikopo ya elimu ya juu imeieleza kamati ya bunge ya hesabu za serikali (POAC) kwamba imeshindwa kuwapa hela ya mikopo wanafunzi wengi walioomba kutokana na serikali kutowa pesa walizoomba na kupewa pesa kidogo kuendeshea shughuli za Bodi hiyo ambapo kwa sasa inakabiliwa na uhaba wa...
Back
Top Bottom