Search results

  1. Mr Spider

    Nahitaji Dalali Wa Nyumba na Viwanja Kwa Mkoa Wa Dar Es Salaam

    Nijikite kwenye mada moja kwa moja, nina hitaji kupata dalali wa nyumba na viwanja kwa mkoa wa Dar es salaam. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Mr Spider

    Nauza Mafuta Ya Alizeti

    Habari zenu wana jamvi! Napenda kuwatangazia kuwa nauza mafuta ya alizeti kwenye ujazo wa lita 20 na lita 5. Mafuta haya yamechujwa vizuri kabisa na ni salama. Bei ya mafuta kwa ujazo wa lita 20 ni 90000/= na ujazo wa lita 5 ni 26000/= Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mr Spider

    Je, kuna uhusiano wowote kwa mtu mwenye uwezo wa kuzungumza lugha nyingi na uwezo wake wa kiakili (Intelligence Quotient)?

    Habari ndugu zangu? Ninaleta kwenu hoja hii, nimekuwa nikijiuliza je, upo uhusiano wowote kwa mtu mwenye uwezo wa kuzungumza lugha zaidi ya moja kwa ufasaha na uwezo wa kiakili, yaani kwamba anadhihirisha anauwezo mkubwa wa kiakili?
  4. Mr Spider

    Nauza Mabata (Dume)

    Habari zenu wakuu, Nauza mabata dume ni makubwa na yanafaa kwa kula na mbegu pia. Karibuni mabata haya yanafugiwa Dar es Salaam.
  5. Mr Spider

    Nanunua mayai ya kuku wa kienyeji

    Habari za mda huu wakuu, kama kichwa cha uzi kinavyojielezea hapo ninanunua mayai ya kuku wa kienyeji kwa bei ya jumla. Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
  6. Mr Spider

    Nimewaza Kuongezea Ujuzi wa Umeme wa Magari(Auto-Electrical)

    Habari zenu wanajamvi, nimatumaini yangu mnaendelea vizuri. Niingie moja kwa moja kwenye mada, nimetafakari nikaona si vibaya nikaongezea ujuzi wa umeme wa magari. Lakini ninatamani kupata a, b, c kuhusu ujuzi huu ambao kwa zama hizi unaweza kuwa ni ujuzi muhimu kuwa nao hasa ukizingatia...
  7. Mr Spider

    Msaada kwa anayefahamu mahali wanapokodisha Screenhouse

    Habari zenu wakuu, Ningependa kufahamu kama kuna mtu anafahamu taasisi ya kiserikali au kampuni binafsi inayokodisha screen house kama unafahamu naomba unijulishe. Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
  8. Mr Spider

    MSAADA: Naomba kufahamu ulipo Ubalozi wa Australia

    Habarini za jioni wanajukwaa, ninahitaji kufahamu ulipo ubalozi wa Australia hapa Tanzania. Nimeambiwa kule ulipokuwepo mara ya kwanza(Masaki) umehamishwa sasa ningependa kufahamu umehamushiwa wapi? Natanguliza shukrani zangu za dhati
  9. Mr Spider

    Mihogo inauzwa inapatikana Wilaya ya Mpwapwa, Dodoma

    Habari wana jamvi. Nauza mihogo debe shilingi 8000/=. Napatikana Wilaya ya Mpwapwa, Dodoma. Karibuni sana, ukichukua mzigo mkubwa utapata punguzo.
  10. Mr Spider

    Ujenzi wa mtambo wa biogesi

    Habarini wakuu, kwa anayetaka kujengewa mtambo wa biogesi anaweza kuni-pm. Bado jamii kubwa ya watanzania wanaendelea kutumia mkaa na wengine kuni, ingawaje utakuta ni wafugaji ambapo wangeliweza kutumia kinyesi cha ng'ombe au nguruwe kwa ajili ya kuzalishia gesi ya kupikia. Karibuni sana kwa...
  11. Mr Spider

    Je, unataka kufuga mifugo kama kuku, bata, mbuzi, ng'ombe n.k lakini unajiuliza namna ya kutengeneza banda zuri LA mifugo?

    Kama umekuwa na shauku ya kufuga lakini unakwama katika utengenezaji wa banda zuri na LA kisasa kwa ajili ya mifugo yako. Basi usiwaze sana katika hilo unaweza nitafuta nikakusaidia, kukusanifia banda utakalo lipenda kulingana na idadi ya mifugo utakayopenda kuifuga pamoja na kukujengea pia...
Back
Top Bottom