Search results

  1. D___________Loy

    Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza UDOM adaiwa kutaka kujiua kisa wivu wa mapenzi

    Hii block H huwa inashida gani hiyo Hostel. Udom Alumnus 2024.
  2. D___________Loy

    Mbunge Francis Mtinga: Watendaji wa Kata Waajiriwe na TAMISEMI, sio Utumishi

    Kama ndo hivyo watumishi wote ambao wapo chini ya Tamisemi waombe kuendana na Wilaya zao wanazozifahamu. Wasipangiwe mikoa au halmashauri ambazo hawana uzoefu nazo.
  3. D___________Loy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna app tamu sana inaitwa 1win bet wanaodd tamu na wanaonesha kabisa ushindi
  4. D___________Loy

    Kwa akili ya kawaida bila VAR lile sio goli

    Ile Penalty ya David Trezeguet kombe la dunia.
  5. D___________Loy

    Watu 12 wakamatwa kwa kula hadharani mchana Zanzibar

    Nakumbuka 2020 nimekamatwa pale CCM bar- Michenzani kisa nakula kipindi cha Corona. Niliteswa sana na Askari Police wa Kizanzibar. Wakinena maneno ya Wewe Mbara acha kuzingua.
  6. D___________Loy

    Mume anatafutwa

    Hakika umempata niko hapa. Umri 33, Masters in Psychology and Behaviour Analysis . Kazi ya serikali nipo Singida.
  7. D___________Loy

    Tunahitaji mjadala wa kitaifa kuhusu umri sahihi wa mtu kuitwa kijana

    United Nations (UN) youth criteria ni 15-35.
  8. D___________Loy

    Diamond Platnumz tumeshampoteza, hii ni "Point of No Return"

    Mond anatafuta Self Actualization. Kuna starehe ya mwisho anaitafuta mwamba.
  9. D___________Loy

    Kama hamtaki Watumishi wa umma wahame mseme! Ina maana Halmashauri zote zimejaa?

    Binafsi nina miezi sita kazini. Ikikamilika naacha kazi by June 2024.
  10. D___________Loy

    Language body ya mawaziri wengi, wanapenda nafasi walizopo, ila hawamtaki kiongozi wao!

    Kuna Wizara juzi imezindua Miongozo ya Elimu kwa wanafunzi wenye Mahitaji Maalum. Mpaka sasa hakuna update namna ya utekelezaji katika shule.
  11. D___________Loy

    Msaada wa Project Proposal

    Binafsi namimi naongezeka nahitaji kuombea watoto wenye mahitaji maalum. Ni msaada nahitaji kutuma sehemu.
  12. D___________Loy

    Wanafunzi wote hakuna aliyesema anandoto ya kuwa mwalimu

    Agreed Binafsi niko nawewe bega kwa bega mpaka hii fani ya Ualimu ibadilike.
  13. D___________Loy

    Kongole AZAM TV kwa kuachana na mambo ya "UDINI"

    Mbona hawaweki kale ka wimbo ka We Wishing you Merry Christmas [emoji320] [emoji2957]
  14. D___________Loy

    Toka nimekuja Moshi ni mbege tu na supu chai nimesahau kabisa

    Same hakuna Mbege zaidi ya Pombe yao ya Mwembe-Denge
Back
Top Bottom