Search results

  1. F

    Naomba ufafanuzi kuhusu dhamana

    Hivi kwa mfano mheshimiwa Tundu Lisu alivyotoa dhamana ya shilingi milioni kumi. Hiyo pesa ndo ishapotea au inakuwaje.??? Msaaada please
  2. F

    Serikali yatangaza Ajira mpya za Walimu 2014

    Pamoja na serikali kutangaza kwenye tovuti hii PMORALG | Prime Minister's Office - Regional Administration and Local Government. kuwa watatangaza orodha ya majina ya waalimu wapya 2014 ifikapo tarehe 15 march lakini naona tarehe hii inapita taratibu tena kimya kimya bila chochote. CCM...
  3. F

    Walioomba mafunzo ya ualimu: Tazama jina lako hapa!

    Naomba nitumie mwanangu mana haifunguki mpaka sasa.
  4. F

    Interview UDSM

    Bwana Tindikalikali hakuna ninaye mjua hapo udsm ila nilitaka mnijulushe mambo yanaendaje?
  5. F

    Interview UDSM

    Wadua nashukuru mawazo yenu nimejaribu kuuliza kweli hawna longolongo japo wadau nategemea mambo mengi na taarifa kemkem kutoka kwenu wadau
  6. F

    Interview UDSM

    Wadau naomba mnipe ufafanuzi kuhusu taratibu za UDSM wanapotoa nafasi za kazi maana safari hii walitoa mwezi June alafu mpaka sasa wamepiga kimya. Kwa kweli siwaelewi taratibu zao naombeni msaada wenu wana JF
  7. F

    Interview ya Bagamoyo university inaendelea sasa hivi wana JF

    Jamani ivi amjasikia kama udsm wameita watu interview mana walito nafasi alafu wamepiga kimya.Wadau mnaniambije kuusu hivi
  8. F

    Interview ya Bagamoyo university inaendelea sasa hivi wana JF

    wadau bado mambo nasikia yanapamba moto unawaka huko ub
  9. F

    Interview ya Bagamoyo university inaendelea sasa hivi wana JF

    Hivi bwana Pafki pannel ilikuaje wanataka wafanyakazi kweli au ndo hivyo tena
Back
Top Bottom