Wadau naomba mnipe ufafanuzi kuhusu taratibu za udsm wanapotoa nafasi za kazi maana safari hii walitoa mwezi june alafu mpaka sasa wamepiga kimya.Kwakweli siwaelewi taratibu zao naombeni msaada wenu wana jf
Bwana Tindikalikali hakuna ninaye mjua hapo udsm ila nilitaka mnijulushe mambo yanaendaje?
Wasiliana na Mukandara,Maboko,Tambila,Sago,Zoto,Karamagi,Frenk,Rugumamu,Shinja,Shao isnt it?