Search results

  1. H

    Je kweli nimerogwa? Uko uchawi? Naomba msaada. Dada yenu kutoka ujerumani

    Naomba kuongezea kuwa, maradhi yangu mara daktari moja anaona mara daktari wapili hayaoni. Na ujerumani kwasifika kwa matibabu, lakini wamekuwa very confused!!! Mimi miaka tatu nauguwa wala sijafika kwa mwalimu yeyote anisomee Rukiya. Lakini nilioteshwa kuwa nitasafiri tanzania kwa mwalimu...
  2. H

    Je kweli nimerogwa? Uko uchawi? Naomba msaada. Dada yenu kutoka ujerumani

    Shukran kwa majibu yenu. Ila wengine wanaruka kuandika kabla kusoma maneno yangu vizuri, ndiyo majibu mengine naona hayaeleweki. Kwanza sijasema nataka mganga kabisa , nilitaka mwalimu kama vile sheikh wa msikitini aniombeye na kisomo cha Rukiya. Ndiyo nilikuwa naulizia mwalimu mzuri ambaye...
  3. H

    Je nimerogwa? Uko uchawi kweli? Naomba usaidizi tafadhali, dada yenu kutoka Ujerumani

    Assallamu Aleikum! Nimekuwa na bwanangu miaka 13 bila shida na watoto wawili. Mara si mara, tulihamia mombasa na bwanangu kapata msichana wa kikamba. Nikapata mimba na huyo msichana kasema nitaona kama utazaa. Nilizaa mtoto akafariki. Kisha bwana kanifukuza na watoto, na isitoshe nikaambiwa...
  4. H

Back
Top Bottom