Search results

  1. T

    Wabunge wa CCM ambao hawakushinda kihalali

    wabunge wote wa ccm waliiba kura hata ambao hawakupingwa,.yan jamaa wajinga walichakachukua ili waonekane wameshnda kwa kishindo!.
  2. T

    Mume Anahitajika

  3. T

    Mume Anahitajika

    dada husninyo namaanisha ndo maana nimeweka na namba ila naomba pls kwa alie serious coz cpendi kusumbuliwa..
  4. T

    Mume Anahitajika

    m2kwao,.kwan std 7 sio elim?. Suala ni kipato hapo. Karibu
  5. T

    Mume Anahitajika

    jamani mi ni msichana. Pia mod ameichakachua thread yangu mi nliandika vzur tu na nkaweka contact nashangaa wamezitoa. Ok 2wasiliane kwa 0719144177 or 0764934546
  6. T

    Mume Anahitajika

    Nipo serious na ninahitaj mume ambaye atakuwa na umri wa miaka 27-31,awe na kaz yoyote halali na elim yoyote. Mi umri wangu ni miaka 27 na nimehitim chuo kikuu na ninakazi kwa sasa. Karibu!.0719144177 or 0764934546
  7. T

    Vacancies announcement

    kweli 2simshangae ili 2muombe a2saidie cc 2nao2mia cm haifunguki...pls naomba m2saidie kuipaste jaman
  8. T

    Najuta kuisaidia CCM kuiba KURA kwenye uchaguzi mkuu! Wana Ismani mnisamehe...

    anifuatilie wapi?,jaman si vyema kutishana hapa dah.
  9. T

    Wamama zangu wa Sokoni waunda lugha yao!

    anakutana kila cku ktk shughul zake hvyo yawezekana anadaka neno moja moja mkuu
  10. T

    Najuta kuisaidia CCM kuiba KURA kwenye uchaguzi mkuu! Wana Ismani mnisamehe...

    Kwan uchaguz 2005 urishirikisha ubunge peke yake mbona mnakomalia ubunge tu?,kulikuwepo diwan wa NCCR wenye nguvu sana tu ndo alikuwa anahofiwa pia jk alizoa kura zote kitu ambacho si cha kweli yan alishnda lkn c kwa kishndo kama ilivyotangazwa pale. Jaman CCM wanapga kura nje ya...
  11. T

    Najuta kuisaidia CCM kuiba KURA kwenye uchaguzi mkuu! Wana Ismani mnisamehe...

    jamani,tulipewa hiyo pesa wote pamoja na mawakala wa vyama vingne nao wakaridhia kubatilisha matokeo...nitafute sifa gan hapa maana hakuna mtu anayenijua
  12. T

    Najuta kuisaidia CCM kuiba KURA kwenye uchaguzi mkuu! Wana Ismani mnisamehe...

    Jaman wanaJF wazima? Mimi mwaka 2005 milikuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi ktk kata moja iliyopo ktk jimbo la Ismani(kwa Lukuvi),kiukweli tulichakachua sana matokeo yan sikutangaza matokeo halisi, nilipewa laki 2 na kuipendelea CCM. Najutia hayo maana leo ndo nimeenda kijiji kimoja kilichopo...
  13. T

    JamiiForums ni kiboko, imenipa kazi mwenzenu

    hii ndo JF bana,yan ni kila ki2,.mi nawashukuru wote na nmeenda leo ofic moja nkaanza kazi,kweli salary ni 400000 hyo haikatwi chochote ila inaongezwa na 37000 kama communication expenses na transport. Jaman mi nataka kujua how ntaweza kuichangia JF coz mi kwangu ndo kila ki2 yan...
  14. T

    JamiiForums ni kiboko, imenipa kazi mwenzenu

    Habari wakuu!,mi ni graduate-2011 na nimekuwa nikifuatilia matangazo ya kazi hapa JF na kutuma application zangu, nimeitwa kwenye interview 5 na sasa nimeitwa kufanya kazi kwenye kampuni 3 tofauti, zote nimepewa mikataba nimeisoma lkn sijaisaini bado, tatizo ni malipo. Yani ina-arange 380,000...
  15. T

    Jamani mapenzi yatanimaliza nisaidieni pls

    ndugu huyo msichana anakupenda tatizo hao wazaz ndo wanaleta utata wote huo. Mpe muda na wkt huo kukijiweka jiran sana nae.
  16. T

    Tangazo hili la kazi, niandikaje barua?

    mchemsho,ushachemka bwana,.khaaa saidia mapema kabla cjafail ndugu yangu
Back
Top Bottom