Search results

  1. Lizo mkristu

    Neno Akili Mnemba ni tafsiri sahihi ya Artificial Intelligence?

    Neno artificial intellency linaleta tafsili tata haswa kwa wataalamu wetu wa lugha ya kiswahi na viongozi wa serikali maana wengine husema ni akili bandia na wengine husema akili mnemba. Sasa, mbona neno mnemba haiendani kwenye artificial intellegency?
  2. Lizo mkristu

    Kwa bajet ya 150k naweza pata tablet kweli

    Habar zenu waungwana ivi Kwa bajet yangu ya 150k naweza pata tablet ya Samsung Galaxy series yoyote ile hata Kwa mtu ili namimi nifanye jambo langu flani ivi?
  3. Lizo mkristu

    Nasumbuliwa na vipele vilivyopo juu kidogo ya shingo

    Habari za jioni waungwana wenzangu.mimi nasumbuliwa na vipele maeneo ya karibu na shingo ambapo ndio nywele za kichwa huishia. Je shida ni nini na dawa yake ni ipi naomba msaada wenu.aksante! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Lizo mkristu

    Anayefahamu pumps hizi za Hydram anisaidie utendaji kazi na ubora wake

    Anaefaham hii kitu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Lizo mkristu

    Ipi Bora kata ya hydram water pump, solar system na pump ya mafuta

    Mimi ni namiliki shamba la parachichi mkoani njombe ukubwa NI heka10 na shambo lipo juu ya mlima na kwenye upunde wa mlima chini ya mlima huo ndio kuna bonde na chanzo cha mto sasa naitaji kumwagilia miti hii ya matunda je nitumie pump ipi kujaza tank Kati ya hydram water pump,solar pump na pump...
  6. Lizo mkristu

    Fixed matches ni ukweli au janja janja?

    Je ni kweli kuna uwezekano MTU anaweza kutengeneza hii mikka na kuuzia watu au ni wizi tu,au kampuni za kubetisha hutumia hawa wauza fixed matches ili kuongeza kupotosha wanaibet?
  7. Lizo mkristu

    Je ubora wa picha zipigwazo na simu zetu NI matokeo ya hardware au software development

    Waju,I wa tech simba mnisaidie maana Mimi napenda kupiga picha sasa Muzingatie nini apo maana naona nacha ganyikiwa juu ya utofauti wa ubora na sijajua inatokana Na idara ipi apo Kati ya software engineer au hardware engineer
Back
Top Bottom