Search results

  1. M

    Msaada wa kufungua Word document yenye password

    Wakuu Habari, naomba munisaidie nawezaje kufungua "word document" iliyo na password (siijui password iliyowekwa), kama kuna software ya kufanya hilo naiomba. Natanguliza shukrani, Mak.
  2. M

    Elections 2010 Ufunguzi wa Kampeni ya Chadema Jangwani 2010

    MwanaHaki, ni vizuri kwenye UKWELI kutoongopa, haisaidii kitu kuongopa. Naijua vizuri familia ya kina Halima Mdee, Halima ni MKRISTO, kama alivyo Baba na Mama yake, bali ndugu wengi wa Baba yake ni WAISLAMU. Nikija kwa Anna Komu, alikuwa anaitwa Maulidah kabla ya kubadili dini na kuwa Mkristo...
  3. M

    Namtafuta bwana anaitwa MSHAURI (UDSM miaka ya 1999)

    Ndugu wana Jamii, namtafuta Bwana mmoja anaitwa kwa jina la Ukoo Mshauri. Huyu bwana alikuwa University of Dar es Salaam miaka ya 1999. Alikuwa anachukua BCom. Nadhani alikuwa anaishi Magomeni. Na kama sikosei aliacha chuo na kwenda USA, ama alienda USA baada ya kumaliza chuo. Yeyote anayemjua...
  4. M

    Angola 2010: Africa Cup of Nations updates

    bofya hapa uchague mechi utakayotaka ona http://www.ilemi.com/
  5. M

    Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

    Katika mapenzi hamna jambo zuri kama kuelezana ukweli, na mwisho kusameheana. MUELEZE THEN MSAMEHE.
  6. M

    Dr.Slaa ajibu hoja mbalimbali na kueleza Sera za CHADEMA hapa JF

    Hapa linatengenezwa JUNGU...., yangu macho.
  7. M

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    update please, magoli yote kwa penalti, kuna kununuliwa Refa hapo. Na Morogoro vipi Yanga?.
  8. M

    Prof. Haroub Othman Afariki Dunia

    Mungu amlaze pema. Ina Lilah Waina Ilayhi Raj'un. Source: MICHUZI Blog
  9. M

    Rais kuhutubia wazee wa Dodoma

    Rais anapozungumza na kundi fulani la jamii, ndio anafikisha ujumbe kwa Taifa zima. Mara nyingi maRais wa Tanzania wamekuwa wakizungumza na Wazee wa Dar es Salaam manake Serikali iko Dar, japo wanadai Makao Makuu yako Dom. Hivyo kwa kuwa Makao Makuu ya Serikali yako Dom, na Rais alitaka...
  10. M

    Bajeti ya SMZ ni bil. 412.6/- mwaka 2009/2010

    Sio sababu, ina maana Rwanda na Burundi wanaosoma Bajeti zao tofauti si nchi. Unatoa majibu rahisi kwa maswali magumu.
  11. M

    Pres Obama's Trip to the Muslim World: A New Partnership

    Ingia hapa utaona live America Free TV, anaendelea na hotuba yake.
  12. M

    Liyumba aachiwa lakini PCCB wambeba...

    Makosa katika hati hutokea, sio Tanzania tu. Hapa tunazungumzia sheria na si yale tunayofikiri ndio yanakuwa sheria.
  13. M

    Je huu ni mtego au biashara

    jee akitumiwa msichana huo ujumbe, inabidi afate maelezo ili akasagane?. Ama kwa wasichana kuna vidume vimeandaliwa. Maajabu!.
  14. M

    Mob Justice: Sort of a Solution to Ufisadi!

    Baada ya kauli ya Pinda kuhusu Albino tutawasikia wengi watakuja na yaleyale.
  15. M

    Kumbe Selelii ni mdini na mkabila

    Mbunge wa Nzega aingia matatani Fidelis Butahe MBUNGE wa Jimbo la Nzega mkoani Tabora, Lucas Selelii amelaumiwa kwa kauli anazodaiwa kutamka kwamba kila mtu anayetaka ubunge akagombee kwao na kwamba, mgombea wa Jimbo la Nzega lazima awe mkristo ili kuepusha kuibua suala la Mahakama ya...
  16. M

    Mkutano wa Mwakyembe na Hoja za Mgongano wa Maslahi

    Anajikanganya, umekosea umekosea tu. Huwezi toa mifano kuwa kuna watanzania kibao wanafanya hivyo. Kwani kuwa watanzania wangapi wezi, kama kuna watanzania wezi haimaanishi tuhalalishe wizi. Kumbe naye ni JUHA kama CCM wenzake. Kwenda zako Mwakyembe na liCCM lenu.
  17. M

    Zitto Alazwa Muhimbili

    Pole mheshimiwa, tunakuombea upate nafuu haraka na uondokane na hiyo mitihani ya dunia. Na wanaorushiana "Vijembe" katika hii thread wakati mwingine mfikiri, hivi angekuwa anayeugua ni mwanao, Kaka, Mjomba nk, ukapata nafasi ya kuingia humu ungeanza kuandika mambo ya ajabu ama ungekuwa...
  18. M

    Je, wapinzani ni wakombozi?

    sina haja ya kumtetea, ila penye haki nitasema. Maelezo ya hiyo picha ambayo aliyeileta naona kaitoa katika gazeti la Majira ni kuwa anafuatilia hoja mbalimbali za wabunge waliokuwa wanachangia bajeti ya PM. Sasa aliyempiga picha kaandika alikuwa anafuatilia, anayeleta humu anasema "wapinzani...
  19. M

    Meremeta & TANGOLD Revealed!

    Hawa ndio CCM, yale yote aliyosema Dr. Slaa baadhi ndio hayo majibu tumepata. Ina maana MEREMETA ulikuwamradi wa Jeshi. Hatukatai MEREMETA kuwa ya Jeshi, na tulielezwa hilo tangu mwanzo. Suala ni kuwa kama ilikuwa ni mradi wa Jeshi ulizalisha kiasi gani, kwanini CAG akataliwe kukagua mahesabu...
  20. M

    Kutoka Bungeni: 2006 - 2010

    Baada ya kusoma kwa utulivu shule yote ya Dr. Slaa, najiridhisha kuwa hakuna majibu yatakayotoka hapo. Yani nimeumia, mfano mdogo ni issue ya kubinafsisha Mgololo. Hivi kweli hawa jamaa ni watanzania. Wanafanya haya kutuona raia ni wajinga ama wanapata wapi huu ujasiri. Yani hapa nina hasira...
Back
Top Bottom