Namtafuta bwana anaitwa MSHAURI (UDSM miaka ya 1999)

Makelele

Member
Sep 23, 2007
28
4
Ndugu wana Jamii,

namtafuta Bwana mmoja anaitwa kwa jina la Ukoo Mshauri. Huyu bwana alikuwa University of Dar es Salaam miaka ya 1999. Alikuwa anachukua BCom. Nadhani alikuwa anaishi Magomeni. Na kama sikosei aliacha chuo na kwenda USA, ama alienda USA baada ya kumaliza chuo.

Yeyote anayemjua naomba contacts zake hapa ama kwa private message (PM). Ama kama naye ni mwana jamvi tuwasiliane.

Asanteni,
Makelele.
 
Back
Top Bottom