Search results

  1. Yuzhonai

    Baada ya Kipindi cha Michezo Kipya cha Usiku cha E-Sports cha EFM Radio Kudoda mapema sasa wamekuja na Ahadi ya Kugawa Pesa ili Kisikilizwe

    Sema wale wote waduanzi tu, hata huyo jemedar na na oluma hamna kitu zaidi ya kuendekeza hisia zao badala ya profession. Kidogo Geoff na Maestro. Mi nilishaacha kusikiliza efm sababu ya unazi wao usio na msingi
  2. Yuzhonai

    MSAADA: Mzigo kusafirishwa kutoka Ali Express

    Vuta subira ukishafika posta au speedaf watakupigia simu au watakutext uende ukachukua
  3. Yuzhonai

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Kioo cha mbele cha nadia bei gani, na wamikoani unatuma mwenyewe au inabidi kufata huko.
  4. Yuzhonai

    Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba Dodoma

    Hata kisasa hawauzi bei hiyo, we nala huko utamuuzia nani kwa hiyo bei?
  5. Yuzhonai

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    sawa mkuu ntakutumia picha.. naomba kujua na MASTER WINDOW SWITCH ya corolla 110 unauzaje?
  6. Yuzhonai

    Tunazo betri mpya zinaitwa TNT ni dry cell tunazo size zote ni nzuri

    n40 unauzaje boss... na gharama ya kutuma hadi dodoma ni bei gani?
  7. Yuzhonai

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    mkuu hiyo ni bei ya shoo pekeyake au na dashboard? mi nntaka tu shoo peke yake.
  8. Yuzhonai

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    mkuu una show ya dashboard ya carina? bei gani?
  9. Yuzhonai

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Naombeni wimbo wa nemo vumilia Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Yuzhonai

    Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Gar nazipenda sana hizi.. ila pesa tu ndio tatizo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Yuzhonai

    Umewahi kupata mkasa gani barabarani?

    Pole sana ndugu. Ndio changamoto za barabarani Mungu anatupenda sana
  12. Yuzhonai

    Umewahi kupata mkasa gani barabarani?

    Duh pole sana aisee... Mola amrehemu
  13. Yuzhonai

    Ninadaiwa Tala, Branch na M-pawa. Nisipowalipa watanifanya nini?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kamanda Mwakibinga[emoji91]
Back
Top Bottom