Search results

  1. A

    AzamTV decoder

    Tafuta wakala yeyote wa Azam ukanunue.
  2. A

    [MSAADA] : Mbona Nashindwa Ku-download Videos za Music Kutumia Tubemate ?.

    Videoder is the best unapata video na audio. kwa ubora mzuri
  3. A

    Msaada: Kwanini niki-download toka Playstore naambiwa memory low ila Blackmart inakubali?

    Mie mwenyewe natumia s5 nikepata hiyo shoda sijui natatuaje hili janga
  4. A

    Kauli ya Mnyika, Inakatisha tamaa...

    Naaam Mnyika anajua anachofuata Bungeni gvmnt ikikosea hajalishi ni chama chako wewe mbunge au si chako lazima uikosoe ili mambo yaende sawa.. kasumba ya kuikumbatia serikali eti kisa ni chama chako ndo imetufiisha hapa pabaya tulipo.. big up Mnyika..
  5. A

    TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Hii imekaa vizuri sana...
  6. A

    EATV: Inaonesha Hawalipwi vizuri

    Kwani ni EATV tuu ndo wafanya kazi wake wanahama mbona makampuni mengi watu wanaenda huku na huku
  7. A

    Kwanini madirisha ya choo hujengwa madogo?

    Hakuna haja ya kuweka dirisha dogo chooni kwa kisingizio cha faragha kwani mbona chumbani ni sehemu ya faragha kuliko chooni lakini mnaweka bonge la dirishaa
  8. A

    Msaada: Jinsi ya kuigundua Simu Original na Fake

    hata mimi nahisi kila brand ina namna ya kujua ni fake au original its better akasema brand na model yake
  9. A

    ........duh nimeisha....mwili unamtaman sana huyu

    Tulia na wako mama,,, wanaume wa namna ambayo umeelezea hapa 90% ni pasua vichwa ukijiingiza hapo utajuta kumfahamu, mpende na kumtunzia tunda mwenzi wako
  10. A

    Msaada jinsi ya kupiga goli zaidi ya moja kwenye sex.

    Listen its simple,, usiwe na haraka muandae mwenzio kwa muda kidogo kissing, hugging,touch za hapa na pale kwenye sensitive part zake then bidae unaweka mzigo ndani na kutoweka mawazo hapo utakuta anatumia mda mfupi kufika na mambo yanakuwa safi ndugu yangu,,,, ( make sure mwenzio siku anainjoy...
  11. A

    Handaki kubwa lagunduliwa kitanzini Iringa

    Picha jamani mkono mtupu haulambwi,,,
  12. A

    Shida za ndoa ( maoni ya wanaume)

    Kwenye kuhudumia mgodi dady iz the head of the family, mambo mengine beijing inatawala mtatuua jamani embu tuoneeni huruma wababa,, big up kwa huyo jamaa unapopata chance tupia mzigo kwa mama nae aangaike nao,, hahaha raha
  13. A

    Shida za ndoa ( maoni ya wanaume)

    Mh na wewe embu tukuulize kama kakipato chako ni kadogo unawezaje kuhudumia hiyo familia kwa kila kitu,,, au kaka yetu kuna mtu anamsaidia na yeye kashtukuia kaamua kuwaachia muendelee kumsaidia na yeye aendelee kula bata zake???????
  14. A

    Naomba ushauri;Mke wa mtu anataka nimpe mimba

    Mali ya mtu ni sumu kali acha kabisaa pitia mbali,,, badala ya kula utaliwa wewe
  15. A

    Baada ya mume wangu kuninyima unyumba kwa miez 8,Nimegundua anamwanamke kazaa naye

    Serikali ya kichwa ya mumeo ishavurugwa msaada uliobaki kwako ni kufunga na kuomba kwa mungu tuu na mumeo atarudi kwenye hali yake ya kawaida
  16. A

    Mh! hebu nijuzeni wenye uzoefu......Nimeulizwa swali.

    Hali ni tete hapo kusubiri na kuvumilia ukame tusidanganyane kama ni wewe au ni jirani yako mi sijui wewe ndo unaejua tafuteni njia mbadala tuu
  17. A

    UDOM.....updates info..!

    Wakati wowote kuanzia sasa wataitwa ndiyo taarifa nilizonanzo tuwe wavumilivu na maombi kwa sana,,,,
Back
Top Bottom