Search results

  1. F

    Kwani Azam TV Wataonyesha Kombe la Dunia huko Russia 2018?

    Wadau, Kuna mwenye taarifa yeyote kuhusu Azam TV kuonyesha kombe la dunia? Au ndio itabidi kujisogeza kwa jirani?
  2. F

    Msaada wa mtaala wa somo la dini kwa sekondari

    Wadau natumai mnaliendeleza vema gurudumu la elimu. Naomba kwa aliye na mtaala (syllabus) ya somo la dini kwa shule za sekondari anisaidie. Nimejaribu kutafuta kwenye taasisi ya elimu bila mafanikio. Aidha kwenye bookshop ya Lutheran sikufanikiwa. Msaada tafadhali.
  3. F

    Majina ya Ndege ya Ajabu

    Nimeshangazwa na jina la ndege iliyomleta Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Ndege hiyo kama unavyoona pichani imepewa jina la HEWA BORA. Ni kitu gani kinakuwa promoted hapa? Waliotoa jina hili wanalenga nini? Kiswahili ni lugha ya Kongo pia? Ni bora hata ya jina lililopendekezwa kwa...
  4. F

    Mwaka 2016 na Baraza Jipya la Mawaziri

    Sasa ni dhahiri kuwa mabadiliko ya tabia nchi yanaendelea kuipa dunia ya leo changamoto zisizo na kifani. El nino tayari imeanza kuleta madhara kwenye baadhi ya nchi na uharibifu wa mazao unatarajiwa kuleta uhaba wa chakula na bila shaka ongezeko la bei ya chakula hususan katika nchi zilizo...
  5. F

    Mbowe anastahili pongezi kwa kuisaidia CCM

    Ni jambo lisilo shaka kwamba mheshimiwa ENL amekuwa akijipanga kwa muda mrefu ili kuipata nafasi ya urais wa JMT. Nifananishe kinyang'anyiro hiki na kumchokoza paka na hali umefunga mlango wa chumba. Paka akigundua hana option atapambana ana kwa ana na yule anayemzuia kutoka na hata kumjeruhi...
  6. F

    Jaji Sinde Warioba ndani ya kipindi cha Dakika 45 ITV

    Warioba on ITV 45 minutes Now
  7. F

    Jaji Warioba kwenye dk 45 ITV

    Jaji Warioba anaongea sasa kwenye kipindi cha dk 45. Wahi umsikie!
  8. F

    Hotuba za Karume

    Nimejiuliza mara nyingi kuwa kati ya viongozi waliohusika kwenye muungano nimesikia hotuba nyingi za mwl. Nyerere lakini za Karume sijawahi kuzisikia. Je zipo? Mwenye nazo atuwekee angalau tusikie kwamba alikuwa ni mtu mwenye dira ipi?
  9. F

    Bodaboda Kutembea kwenye kuta za barabara ni ubunifu?

    Je huu ni ubunifu au uharibifu?
  10. F

    Msaada wa Mwanasheria maeneo ya Mwenge, Sinza

    Nauliza je kuna ofisi ya mwanasheria yeyote maeneo ya Mwenge au Sinza? Nahitaji huduma hiyo.
  11. F

    Msaada wa internet settings kwenye iphone

    Mimi ni mteja wa Vodacom na simu yangu ni Iphone 3gs. Katika matumizi ya kawaida nikapata sms kutoka Vodacom inayoniambia ni follow link hiyo ili nifanye setting ya internet. Kila nikiclick browser inakataa, message ni kuwa it can not open the link or server. Naomba mwenye maujuzi ni kwa nini...
  12. F

    Naombeni kiti nikae

    Sent from my GT-P7500 using Tapatalk HD
  13. F

    Tra na usumbufu wa road license

    Unakwenda kwenye ofisi ya TRA ukiwa radhi kulipa kodi. Unakutana na mlolongo wa ukiritimba. Unasimama foleni benki kwa masaa mawili ili kuwapa fedha. Mazingira ni mabovu na watu wamejazana kupita kiasi. Hakuna hewa ya kutosha. Hata hivyo hakuna meneja anayeonyesha kujali wala kudhibiti...
  14. F

    Samsung Tab 10.1 call function

    Wakuu kama kuna mtu ana njia ya kunisaidia kuinstall call function kwenye hii kitu. Nasikia siku hizi inawezekana. Mwenye maujuzi tafadhali. Sent from my GT-P7500 using Tapatalk 2
  15. F

    Sms kutoka kwa JMKikwete

    Ndugu Watanzania, tumehesabiwa, jumla tuko 44,929,002.Tanzania Bara 43,625,434 na Tanzania Zanzibar 1,303,568.Asanteni, Dkt. Jakaya M Kikwete. Sent from my iPhone
  16. F

    NBC kulikoni?

    Jioni ya leo nimeshindwa kupata fedha kutoka ATM ya NBC nikiambiwa account yangu haiwezi kufanya transaction yeyote. Nimeshuhudia pia watu kadhaa wakifikwa na hali kama hii. Lakini nikiendelea kuzubaa hapo hapo nisijue la kufanya watu kadhaa wameweza kutoa hela. Ajabu nyingine nimeshuhudia...
  17. F

    Stylus pen for ipad and tablets

    Wakuu kuna mtu anajua hii kitu inapatikana wapi hapa dar? Na kwa bei gani?
  18. F

    Ipi ni the best antivirus for tablets?

    Wakuu naomba ushauri kutokana na uzoefu wenu. Ipi ni the best katika categories zote mbili ya kununua na ya bure (free)?
  19. F

    Four top Kenyan judges dismissed

    Joseph Nyamu is one of four judges to be dismissed Four senior judges in Kenya have been declared unfit for office in a landmark ruling by a new committee investigating the impartiality of the judiciary. The vetting panel was set up as part of the deal to end post-election violence in 2008 when...
  20. F

    Conversion ya H264 to mp4

    Wakuu ni software ipi ya bure inayoweza kunisaidia kuconvert video zenye format au extension ya H264 kwenda kwenye playable formats kama mp4 n.k.
Back
Top Bottom