Search results

  1. K

    Uchaguzi 2020 CHADEMA, ACT Wazalendo vyapigwa marufuku kunadi wagombea wasio wa vyama vyao. Waambiwa kufanya hivyo ni kuwachanganya Wananchi

    Ya kumnadi mgombea wa CDM au ACT sioni kosa hapo mwananchi atachanganyikiwa kivipi yaani Mccm wameshikwa pabaya
  2. K

    Nimeanza kufikiri kumpigia kura Lissu

    Utakuwa ujapoteza kura yako. Utafurahi pmj na kizazi chako, kwani utakuwa umewekeza kwa ajili ya familia yako na watukuu
  3. K

    Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe!

    Pascal hivi haya yanayofanyika wewe unayapenda. Kweli Pascal unayapenda ebu sema ukweli from your HEART. Au kuna kitu unakitaka, mbona umebadilika baada ya kuomba kugombea Ubunge. Au ni kwavile walikunyanganya fursa zote mpaka ukaanza kukosa namna ya kulisha familia. Kama umerudi kwa ajili ya...
  4. K

    Uchaguzi 2020 Job Ndugai asema CCM inahitaji 2/3 ya wabunge ili tuamue chochote kinacholetwa na Serikali

    Kwani ukishachaguliwa na kuwa mbunge. Pale bungeni unakuwa mwakilishi wa nani. Unakuwa mwakilishi wa chama au wananchi waliokuchagua??. Kwa maneno ya Ndugai inamaana watakaochaguliwa na Wanacvm hawatakuwa wabunge wa wananchi, watakuwa wabunge wa chama na serikali hivyo hawataweza kuwatetea...
  5. K

    Uchaguzi 2020 Bora CHADEMA mngesitisha uzinduzi wa kampeni kufuatilia hujuma za wagombea wenu kuenguliwa

    Inabidi afanye kampeni na kuwaelewesha wafuasi wa CDM kwanza, kuhusu Tume. Baada ya wafuasi kuwaelewa ndio sasa mtaiambia tume tunataka wagombea wetu warudishwe. Hapo wafuasi watakuwa wameshawaelewa ata mkiwaambia tunaandamana kuelekea tume wataenda. Ngoja tumsikie leo ataongea nini juu wagombea...
  6. K

    IGP Sirro ipo siku utayajutia maneno haya. Wa kufa ni nani?

    Unaweza ukusoma lkn ukatoka kapa.
  7. K

    Je, Afande Sirro ana chuki binafsi na Tundu Lissu? Kwanini atoe kauli kama hizi dhidi yake?

    Wanapoongea akina Musiba, Nape na wengine wa CCM huyo IGP wako anakuwa amwbanwa na mavi nn. Kwann anashindwa kuwakemea au kukemea. This time lazima watatema vyeo na watashtakiwa kwa kutumia vyeo vyao vibaya. Bora tufe wachache kwa ajili ya wengine. Na ni bora kufa kwa kuwatetea wenzako. Ndivyo...
  8. K

    IGP Simon Sirro ana wajibu wa kutueleza Chama cha Siasa kilichopanga kuchoma vituo vya kuuza mafuta Nchini

    Siro muongo anataka kutuletea zile za IGP MAHITA na CUF kuwa CUF wamebeba majambia kwenye MaContainer. Kama kuna njama za kuchoma vituo za mafuta basi watakuwa ni CCM wakilindwa na Polisi halafu wasingizie Opposition. This time wameshikwa pabaya. Tendeni haki ili msije mkapelekwa The Hague au...
  9. K

    Chato Challenge: Lissu na Membe wakafanye mikutano ya hadhara Chato tuone mapokezi yao

    Mataga bwana hivi ujui kuwa halmashauri ya Chato anapokaa huyo Meko inaongozwa na CHADEMA. Muombe mungu asikunyime akili. Mataga wamenyimwa akili. Yaani vichwa vyao ni matope
  10. K

    Tume yaanza figisu, mgombea wa CHADEMA apewa fomu zilizopigwa mihuri

    Mbona yule anayegombea Mwanza Pambalu fomu zake zimegongwa muhuri na tumeona live akigongewa. Ebu tuambieni fomu ni lazima zigongwe muhuri??.
  11. K

    Uchaguzi 2020 CHADEMA pumzi imekata, Bernard Membe asakwa

    Rudi shule kasome tena unatakiwa kurudia chekechea. ELIMU ELIMU ELIMU. Mataga kwenu shule ni sawa sawa na jela
  12. K

    Ukweli wa mafuriko ya Lissu wafichuka, ni watoa rushwa CCM wanahaha kwa kuwatuma wafuasi wao

    Wewe unatakiwa ukaeudie darasa la kwanza. Yaani mataga cjui akili zenu zimeenda wapi. Unataka kusema hao wagombea wa ccm wanao wanachama mamia kwa mamia ktk kila mkoa. Endeleeni kujitekenya. C mliwanunua wabunge mnalalamika nn sasa wapitisheni. Tuibadilishe Tanzania hawa wasiojua dunia inaenda...
  13. K

    Uchaguzi 2020 Ukweli: Lissu atashinda uchaguzi wa Oktoba kwa 70%

    DOLA NI WATANZANIA kama ujui.
  14. K

    RC Hapi: Niwe Mbunge, nipeleke shida za Wananchi kwa RC ili anitatulie? Hakiingii akilini

    Ni kwa vile aelewi kuwa mamlaka ya mbunge ni makubwa kuliko ukuu wa mkoa. Yaani yeye anaona kwa vile Magufuli anachezea sheria ndio itakuwa hivyo miaka yote. Haha yataisha mwezi wa kumi na moja wakati wenye nchi watakapochukua nchi yao na kuweka katiba yao inayofuata sheria na haki. Ndio atajua...
  15. K

    Uchaguzi 2020 Muungano wa CHADEMA na ACT, utaifaidisha zaidi ACT-Wazalendo

    Wataofaidi ni watanzania kwa kukombolewa kutoka kwenye makucha ya Simba aliyewatafuna miaka 60 bila haha kuwaachia.
  16. K

    Picha: Benard Membe akiwa na viongozi wakuu wa ACT-Wazalendo

    Safi sana kichotakiwa ni Act na Chadema wajiunge/wasimamishe mgombea moja kila jimbo na kwenye udiwani
  17. K

    Baada ya CCM kuzidiwa: Mkuu wa Mkoa wa Morogoro atuhumiwa kumnyanyasa Mgombea Ubunge wa CHADEMA, Daniel Shilla. Ameagiza akamatwe na Jeshi la Polisi

    Ebu rudia hata mara tatu kumsikiliza, hajasema kuwa Magufuli anahusika alichokisema ni kwamba viongozi waliopo yaani huyu mkuu wa mkoa wanamchafua rais kwa kuwaonea watu. Kwasababu wanapofanya hivyo mara nyingi wanasema maelekezo yametoka juu. Maelekezo yanakuwa yametoka juu wapi?? Mbinguni??
  18. K

    Sheria inasemaje kuhusu Wabunge walioaga Dunia?

    Zimepita siku karibu mwezi sijamsikia spika wa bunge letu kusema lolote kuhusu nafasi za wabunge wetu waliyochukuliwa kwa mapenzi ya mungu. Na sijasikia hata sisi wananchi ambao tunalipa kodi na kuwalipa wabunge kusikia chochote kuzungumzia kuhusu nafasi zilizo wazi kwa waliochukuliwa na muumba...
Back
Top Bottom