Search results

  1. C

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Kaka upo sahihi kabisa! c ukabila na udin umejaa hapo! Me huwa nakasirika sana pale Kanisani tulipotakiwa kuleta vyeti kwa ajili ya ajira ktk sekta ya serikali! na kuna wa2 walikimbiilia kuforge vyeti na yule jamaa hakavichukua na sasa wanaajira! Tatizo ni kwamba wanatutia aibu ktk utendaji kazi...
  2. C

    Madiwani waliotimuliwa na CHADEMA watinga mahakamani

    Hawa ni wasaliti! lkn umakini unahitajika ktk maamuzi makubwa! kwani busara isipotumika tutawatimua wangapi?
  3. C

    Prof. KIKULA atoa mpya

    Du! aisee nami nakumbuka mbali sana, ila c tulitia fora pale jamaa aliposhinda tukaanza kushangilia Yesu! Yesu! Lkn lazima tukubali wakristo tuliwazidi kete waislam hasa hapa Social, kusema kweli Bashe alistahiki kuwa kiongozi ana sifa zote kuliko yule dada, lakini kwa kuwa tulikula kiapo cha...
  4. C

    BAKWATA itakufa CCM ikiondoka madarakani

    Me sijafamu Bakwata, wanatetea mtu au Vazi! nasi tusikirupuke maana kesho anaweza kuvuliwa m2 msalaba, na kukashifu ukristo, ina maana wakristo tukae kimya maana aliyevaa msalaba c mkristo, nadhan umakini wa fikra unahitajika ktk suala hili
  5. C

    BAKWATA itakufa CCM ikiondoka madarakani

    Sorry wadau, tunavyotoa comment za kukejeli dini ya watu, tunaonesha wazi nia yetu sisi wakristo kama tunawakeli waislam, ambao ndio hao hao wapiga kura wa CHADEMA, tuache jazba tujadili hoja, hivi ni kweli waislam wala ubwabwa, darasa la pili, wacheza bao, hivi hakuna waislam waliosoma. Tuache...
  6. C

    Chadema Wants CCM Out Of Igunga Race: CCM has violated elections ethics and regulations

    Japokuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya Chama na Mtu, mara nyingi mtu huongozwa na itikadi ya Chama Chake. Lakini nahofia kukihukumu moja kwa moja CCM, kwa hili la Rage, maana makamanda we2 wa CHADEMA nao huweza kukamatwa na bangi, silaha, coz nao ni binadamu then tukahukumu moja kwa moja. nadhan...
Back
Top Bottom