Search results

  1. K

    Ajira za walimu

    hii ni kazi ya kujitoleya but nch yetu hai thaminin kabisaaa
  2. K

    Vipi bodi ya mikopo na wanavyuo wa mwaka wa pili walio kosa mkopo mwaka wa kwanza. . . . .??

    so kwa maana hiyo hakuna haja ya kuwa na bodi ya mkopo na nibora ifutwe imeshindwa kukithi mahitaji
  3. K

    HESLB wanatupa hiyo mikopo lini????

    Bora ya wewe uliyo pewa a a usiwe na plessure utapata soon! Bt wenzio bod imenuna mazimaa
  4. K

    Vipi bodi ya mikopo na wanavyuo wa mwaka wa pili walio kosa mkopo mwaka wa kwanza. . . . .??

    Haki ya nani tupeane msaada kuhusu hili ili tujue mapema manake da!
  5. K

    Vipi bodi ya mikopo na wanavyuo wa mwaka wa pili walio kosa mkopo mwaka wa kwanza. . . . .??

    oyo jomba hata mimi ni first yr wa mwaka huu ndo maana nimeuliza kwan hukuona tangazo la tareh 12/10/2011 toka kwenye hiyo idara inayojiita bodi
  6. K

    Vipi bodi ya mikopo na wanavyuo wa mwaka wa pili walio kosa mkopo mwaka wa kwanza. . . . .??

    sio kila anayeweza kujilipia mwaka wa kwanza ndo anauwezo wa kumudu gharama kwa mfan waweza kuweka shamba bondi / kuuza kwaajili ya karo
  7. K

    Vipi bodi ya mikopo na wanavyuo wa mwaka wa pili walio kosa mkopo mwaka wa kwanza. . . . .??

    Hivi hii bodi ya mikopo ambayo hudai imeishiwa fedha na inauwezo mdogo wa kifedha kuwakopesha wanavyuo pindi waanzapo vyuo, hivi huweza kuwalipia wanavyuo wa mwaka wa pili ambao walikosa mkopo mwaka wa kwanza au ndo huwatupia kisogo kwa kuto wasaidia mikopo miaka yote ? Nahitaji msaaada hapa...
  8. K

    Bodi ya mikopo wana lao jambo

    Sio siri huu ni usaliti mkubwa angeamka nyerere ingefahamika tu!
  9. K

    Bodi ya mikopo kuwatolea nje watoto wa wakulima hawa kwa upupu huu?

    King kilipa. . . . . na mimi ni mwathirika , inauma sana a Haki ya nani tuko weng tuliofyekwa ka nyasi then kukwanyagwa pasipo na huruma hata kidogo kwa hii serikali yetu ya ccm kwa sisi maskini kusoma tusahau kabisaaa a a a a tutakaa sana nyumbani na kushika jembe na kulipa kodi na wengind...
  10. K

    Janga la kitaifa kwa wanafunzi waendao vyuo katika jamhuri ya muungano wa tanzania [mikopo].

    bora uwemweka sawa manake watu wengine huwa hatufikirii kabisa kupata kwako isiwe ndo kuwabania wenzio na kuwashabikia bhana
Back
Top Bottom