Search results

  1. remon

    Revealed: Kigogo wa Polisi Dar na Benki ya KCB matatani

    Hivi haya yote yanatokea TISS wanafanya kazi gani? je BOT inayotoa leseni kwa haya mabank ndy inakuwa basi tena, hakuna ufuatiliaji? kweli magufuli kazi anayo
  2. remon

    Ni wakati wa kumfahamu mmiliki halisi wa mashine za EFD

    kwanza hizi mashine inabidi ziuzwe na kitengo cha kodi cha TRA siyo wapigaji. Lazima atajulikana ni nani anamiliki Pergamon moja ya kampuni zinazo uza mashine za EFD, Kampuni ya Maxmalipo pia ni Wauzaji walioizinishwa na TRA kuuza mashine.
  3. remon

    Muuza Madawa ya Kulevya maarufu, Hussein Mafisi akamatwa

    bado wapo wengi mno !! tena wangine ni vioungozi!!! hata huyu aliyekuwa mbunge wa Kinondoni si na yeye alikuwa mtu wa dili hizo?
  4. remon

    Namshauri Mh. Rais abadilishe fedha ya nchi

    Nadhani kuna haja ya kutoa ushauri kutumia ile email ya ikulu
  5. remon

    Namshauri Mh. Rais abadilishe fedha ya nchi

    mkuu hapo umenena matumizi ya dola yapigwe marufuku unaenda kununua bidhaa mjini muindi anakuambia inauzwa kwa dola, tuwe ka china ni marufuku kufanya biashara ndani ya china kwa kutumia dola. Na iwekwe sheria ikitokea mtu kakamatwa ni kifungo si chini ya miaka mitatu mpk mitano na kulipa faini...
  6. remon

    Serikali yazungumzia tishio la Serikali ya Marekani kusitisha misaada

    Ifike mahala nchi za kiaafrika zijitegemee kwenye mambo yake, na ndy matatizo ya kutegemea wahisani kutuendeshea maisha yetu. inafika wakati watatuamrisha kuhusu mashoga. Hapo ndipo utapoona nchi za afrika kuwa na masoko ya pamoja ili kukabiliana na vitisho vya hawa nguruwe, na si masoko tu viko...
  7. remon

    Serikali yazungumzia tishio la Serikali ya Marekani kusitisha misaada

    Ifike mahala nchi za kiaafrika zijitegemee kwenye mambo yake, na ndy matatizo ya kutegemea wahisani kutuendeshea maisha yetu. inafika wakati watatuamrisha kuhusu mashoga. Hapo ndipo utapoona nchi za afrika kuwa na masoko ya pamoja ili kukabiliana na vitisho vya hawa nguruwe, na si masoko tu viko...
  8. remon

    Mabasi ya UDA yakamatwa, Ridhiwani Kikwete ahusishwa

    watu wote watakao bainika kuhujumu uchumi wa nchi, wanatakiwa wafungwe si chini miaka 15, wafilisiwe kila kitu hata kile walichopata kwa halali. ili iwe fundisho na mfano kwa wote. Lazima tufike mahala nchi iheshimike na kuogopwa km mionzi ya nyuklia
  9. remon

    Mwakyembe, Sitta 'walisafisha' nini Bandarini?

    Smart monkey's!!!
  10. remon

    Rais Magufuli na msafara wa magari 4

    Na mjomba angeendelea kuwa rais wa nchi angenunua gari km la Obama
  11. remon

    Rais Magufuli na msafara wa magari 4

    Vasco Da gamma a.k.a Mjomba alikuwa anatumia magari 14 mpk 16
  12. remon

    Zitto kufunguliwa mashtaka endapo...

    Huyu jamaa anaitwa Zitto ni mtu ambaye nilikuwa na mkubali sana kutoka na siasa zake, ila baada ya kugundua kuwa huyu jamaa ni Mnafiki na Mchumia tumbo Ahaaaaa! nimeingiwa nyongo na huyu kiasi kwamba sura yake huwa naiyona kama jinamizi vile. Hafai kabisa. Mwanzoni niliona km wanamuonea kumbeeee
  13. remon

    Mwakyembe, Sitta 'walisafisha' nini Bandarini?

    haaa haaa haaa ndugu uliona zile picha sita akiwa na tajiri wa HSC , mwakyembe naye na wote wamepiga wakiwa dubai hv unafikiri ni kwanini walikutana na huyu jamaa? haikuwa bahati mbaya ila ni kwa makusudi. wizara usafirishaji + bandari na TRA + HSC=...........
  14. remon

    Maduka ya dawa MSD kufunguliwa Jumatatu: Bei za dawa kuwa chini ya bei ya soko

    Huleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Waaaoooooooooooooooooooooo
  15. remon

    Magufuli sasa kufuta ibara ya 46 (3) ya katiba

    duh km itakuwa kweli!! atakuwa amefanya jambo moja zuri sana. Mungu amsimamie katika hili. Mungu ibariki tanganyika
  16. remon

    Kasi ya Rais Magufuli: Nani aliyewashauri Home Shopping Centre!

    Mi nadhani kuna haja ya kufanya uchunguzi, wale wote waliokwisha wahi kuwa mawaziri wa usafirishaji wachunguzwe, riz moko na taasisi zinazohusika ambazo tumeona hatua zimeanza. time will tel
  17. remon

    ITV vs Rais Magufuli na CCM

    tatizo jamaa amekariri kuwa habari yoyote inayomuhusu rais au makamu lazima iwe ya kwanza. yote hy ni tactics za utangazaji. hata waandishi wa vitabu anaweza akaanza kusimulia hadithi mwisho then akarudi mwanzo na akamalizia katikati. pia nakushauri mkuu usitegemee chombo kimoja kupata habari...
  18. remon

    NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    unapiga ngumi za jicho tu!! kwani uoni kwingine bwana?
Back
Top Bottom