Search results

  1. M

    Wabunge hawa tutendei haki watanzania tuulio wachagua

    Kwa mujibu wa kanuni za bunge SEHEMU YA SABA ( UHALALI WA SHUGHULI) ibara ya 77 ya kanuni ina sema Akidi ya vikao vya Bunge 77.-(1) Akidi kwa kila kikao cha Bunge wakati wa kufanya maamuzi itakuwa ni nusu ya Wabunge wote, kama ilivyofafanuliwa katika Ibara ya 94 ya Katiba, isipokuwa kwamba...
  2. M

    Jicho la tatu Arusha na Lema linavyoona

    Lema alishtakiwa na Makada watatu wa CCM, Mussa Mkanga (55), Happy Kivuyo (49) na Agnes Mollel (44) tunaomba CCM wamteuwe mmoja wapo agombee ubunge Arusha
  3. M

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Vipi jamani lema kaishaonesha utofauti kwenye jimbo la Arusha?
  4. M

    Hivi ni mzimu gani umeingilia ccm?

    Hapana kuandamana haitasaidia Ta Muganyizi tujipange kwa 2015
  5. M

    Hivi ni mzimu gani umeingilia ccm?

    Jamani nimzimu gani umewaingilia hawa jamaa wamelazimishia mpaka lema kavuliwa ubunge, sasa kinachofuata ni vita mji wa arusha kwani bado tuna kumbukumbu za vifo vilivyojitokeza uchaguzi mkuu na tunatarajia uchaguzi mdogo wa Arusha mambo yatakuwa yaleyale kwani CCM sasa walivyo na roho ngumu ya...
  6. M

    Clouds FM na TBC Kaeni chonjo Salamu toka Arumeru kuelekea 2015

    Haya ndo kifuta jasho baada ya Uchaguzi mdogo wa igunga, peoplesssssssssssssssssssssssss power jamani hii CCM byebye 2015 wanatakiwa kujipanga.Pongezi kwa wana ARUMERU Jembe anatakiwa kujipanga sasa kwa urais.
  7. M

    Siri ya waraka wa Mwakyembe yafichuka; Kisa ni kifo cha ghafla cha mhudumu ofisini kwake

    tanzania tunapoelekea itakuwa kama Misri na Libya
  8. M

    Sophia Simba : UWT ifutwe hapa nchini ianzishwe nyingine na jina Tofauti vinginevyo....

    ndomaana wakina mama wengi wana mawazo ya ki CCM kumbe haya mambo yanatokana na historia nakuunga mkono Ta muganyizi huu umoja ubadilishwe.
  9. M

    Hivi hii ni aina gani ya uigizaji?

    madirector jamani ndo haohao utakuta director yeye,producer yeye,editing yeye ulaji utafanyaje kijana anajichukulia kiulainiiii kisa director mabinti jiadhali na hawa watu tafuteti shughuli nyingine jamani acheni kujidhalilisha
  10. M

    Hivi hii ni aina gani ya uigizaji?

    ila jamaa noma kuchungulia hai kutosha kataka kupima joto kuangalia centgrade zikoje, to me i can see it is a shame.
  11. M

    Vipi kuhusu Jairo, Mbona kimya?

    jamani CCM noma lakini ngoja chakula kinapikwa bado hakijaaivya vizuri
  12. M

    Hivi hii ni aina gani ya uigizaji?

    Huyu ni kanumba na aunt ezekiel mushauri wa ukweli jamaa anachunguli mbaka kunako? ndo mila na desturi za MTZ!
  13. M

    Igunga OFFICIAL Results: Dr. Kafumu atangazwa mshindi

    jamani nambieni chadema wameshindwa kivipi ili hali walikuwa wanaongoza?
Back
Top Bottom