Search results

  1. BUCHANAGANDE

    Profesa Anna Tibaijuka: Hili zimwi (Mkataba wa bandari) lilipitaje kutiwa sahihi Ikulu na bungeni?

    Huyu mama si ndo mwizi nambari moja Tanzania. Au mmesahau walivyokuwa wanagawana mapesa kwenye viroba???? Leo ninyi watanganyoko ndo mnamsifia kweli????
  2. BUCHANAGANDE

    Tatizo la kuchanganya mafuta

    Yaani ukaona dawa ni kuongeza mengine??? Baada ya kuongeza ndo unakuja kuuliza???? Pole sana
  3. BUCHANAGANDE

    Mstaafu ambaye alishastaafu lakini hataki kustaafu 'anastaafishwa'

    Usidhani uko huru ndugu yangu. Mmiliki wa JF mwenyewe ni walewale vipepu na JF ipo kwa maslahi mapana ya kitengwa. Kama huamini anzisha JF yako uone kama itaSimbadumu.
  4. BUCHANAGANDE

    Hatua zipi za kufuata ili mdogo wangu apate shule ya Serikali

    Mi naona mzigo wa kwenda kidato cha 5 ni mzito maradufu kuliko mzigo wa kwenda kusoma Diploma. Fuatana nami kama ifuatavyo:- 1. Akienda kidato cha 5 utalipa ada ndogo lakini mahitaji mengine yatakuwa makubwa mno (nauli, daftari, sijui dawati, pesa ya mlinzi, mara sare, viatu n.k n.k). Akienda...
  5. BUCHANAGANDE

    Nichague kozi ipi kati ya hizi?

    Unataka usome hizo kozi kwa ngazi ya Diploma au degree?? In short kama ni Degree soma course yoyote kati ya hizo na ujiandae kuwa Dalali, MC au motivational speaker pindi utakapomaliza Chuo. Na kama ni Diploma kasome Procurement. Soko lake ni kubwa sana maana Kila sehemu kuna manunuzi na ugavi...
  6. BUCHANAGANDE

    Rais Samia, Makatibu Tawala wa Wilaya warudishe pesa za fanicha walizokula

    We PIMBI, mambo ya bandari kuuzwa hayanihusu. Chukua 16,000,000 zidisha kwa Wilaya zote Tanzania then tafakari hiyo pesa ingenunua madawa kiasi gani katika Hospitali, ingeajiri vijana wangapi, ingejenga madaraja mangapi n k Kalaghabaho!!
  7. BUCHANAGANDE

    Rais Samia, Makatibu Tawala wa Wilaya warudishe pesa za fanicha walizokula

    Salaam katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Mheshimiwa Rais naomba nikujulishe kuwa ile pesa Milioni kumi na sita (16,000,000/=) ulizotoa kwa kila Wilaya Kwa Makatibu Tawala ili wanunue FANICHA katika Nyumba wanazoishi wengi wao hawajanunua Fanicha kama lengo la fedha hizo lilivyo na...
  8. BUCHANAGANDE

    Serikali kwanini mnalazimisha vijana kidato cha nne kwenda vyuo vya kati?

    Wewe utakuwa ni wa kulalamika kwa Kila kitu hadi unaingia kaburini. Pole sana dogo
  9. BUCHANAGANDE

    Ushauri: Nichague kwenda China au Ujerumani???

    Pole sana ndugu yangu. Yaani kwa Ukraine ulikuwa umetoboa kabisaaaaaaa. But usife moyo na usikate tamaa
  10. BUCHANAGANDE

    Ushauri: Nichague kwenda China au Ujerumani???

    1. Ufaulu wako wa undergraduate uwe kuanzia wa GPA ya 3.5 na kuendelea 2. Uwe unapita kwenye websites za vyuo vikuu mbalimbali (in short utenge muda wa kuwa una-search kwenye mtandao mara kwa mara) mi muda wangu mwingi nautumia hivyo na nina Magroup 5 tu ya WhatsApp 3. Uwe na nyaraka stahiki...
  11. BUCHANAGANDE

    Ukisahau namba yako ya mtihani wa form 4 na unataka kujua matokeo yako kuna njia ya kuifahamu?

    Namba ya 4m4 unasahau hata mwaka haujaisha ila kubeti na mapenzi husahau tangu 4m1.
  12. BUCHANAGANDE

    Ushauri: Nichague kwenda China au Ujerumani???

    Pole na samahani sana kwa kukuchefua
  13. BUCHANAGANDE

    Ushauri: Nichague kwenda China au Ujerumani???

    Masomo ni kwa kingereza lakini pia nakifahamu kichina. Nilisoma UDSM
  14. BUCHANAGANDE

    Ushauri: Nichague kwenda China au Ujerumani???

    Ujerumani nilishaenda na nikatembea takriban nchi 11 za Ulaya kupitia shengen visa
  15. BUCHANAGANDE

    Ushauri: Nichague kwenda China au Ujerumani???

    Nawasalimuni nyote! Naamini mu wazima. Naomba msaada wa kupata ushauri kama ifuatavyo;- Niliomba Scholarship nchini China kusoma Master of Public Administration na pia niliomba nchini Ujerumani kusoma Master of Public Policy. Scholarships zote ni za miaka 2 na kote wananilipia pesa ya ada...
  16. BUCHANAGANDE

    Naomba msaada ninunue gari gani kati ya haya mawili?

    Nashukuru sana Mkuu wangu Unaweza nisaidia faida za mfumo huo wa push to start???
  17. BUCHANAGANDE

    Naomba msaada ninunue gari gani kati ya haya mawili?

    Habarini zenu! Naomba msaada ninunue gari gani kati ya haya mawili:- Gari la mwaka 2011 lina features zifuatazo: Limetembea km 156,000 Rangi nyeusi Linauzwa Dola 3,500 CIF Pia lina Airbag Alloy wheels FOG lights Car navigation system Anti lock brakes Power window Back monitor Air conditioner...
Back
Top Bottom