Search results

  1. M

    Rav 4

    Mkuu King Kong III, Nakubaliana na wewe kuhusu uchakachuaji kwenye yard za bongo, lakini napenda nikueleze ukweli kuwa RAV4 ya cif ya dollar 3,000 haitakuwa na hali nzuri kama za kuanzia dollar 4500- 5000, trade car view quality ya magari yao siyo nzuri sana kivile that is why price zao pia...
  2. M

    Rav 4

    Note used car zinauzwa kulingana na ubora wa hali ambao zipo nao that means bei ya CIF inatofautiana kulingana na ubora wa gari, generally ukitaka RAV4 yenye ubora ya mwaka 1998 or 1999 ina range kati ya CIF ya dollar 4700 hadi 5500, so it is up to you unataka RAV4 iliyo na hali nzuri( bora) au...
  3. M

    Rav 4

    CHECK THIS Motor vehicle with more than 1000cc but not exceeding 2000cc (Aged more than 10 Years) Example of vehicles: Toyota Mark II Model GX110, Toyota Corolla, Subaru forester, RAV4,Pajero Junior (io) GUIDELINE SUBJECT TO VERIFICATION...
  4. M

    Rav 4

    Mkuu acha kumdanganya, huwezi kuagiza RAV4 kutoka japani mpaka unaitoa ikawa milioni 10, RAV4 ya 1999 ushuuru wa TRA ni around 5.8 milioni , kwa maana hiyo bei ya RAV4-1999 Mpaka kuweka barabarani bila Bima ni around 15.8 to 16 milioni, usidanganyike ukaagiza ukakwama bandarini kama bajeti yako...
  5. M

    TASAF wamesha-shortlist?

    Mkuu vp waliuliza vitu gani kwenye interview? nipe japo kwa kifupi
  6. M

    Naomba msaada wa KARO kwa Master's Course

    mkuu naomba unijulishe biashara gani inalipa huko msumbiji, nataka nifanye hiyo business, naomba unijuze mkuu.
  7. M

    Looking for sponsor in tanzania-Masters degree

    wewe nani alikuambia ukasome wakati hauna hela? ungetafuta scholarship kwanza ndiyo uende shule!!!! Watu wengine mnasoma tu ili muonekane mna masters hata hamjui wapi mtaitumia, soma kwa malengo usikulupuke.
  8. M

    Kijana najituma sana kwa huyu mama, lakini bahili!

    wewe ni wakuchapa makofi tu, hakuna haja ya ushauri na tayari unangoma , subiri kuanza dozi hatimaye tukuzike . pumbafu!
  9. M

    Sudan ya kusini yahamisha mjii mkuu

    Bajabiri, ndio hivyo tena vongozi wa serikali hawana utashi wa kwenda Dom, wanafanya biashara Dar, kuna baadhi ya wafanyakazi wizara fulani walishalipwa kuhamia dom lakini baadaye walivyoona viongozi wanasuasua kuhamia dom nao wakarudi kimya kimya dar na mamilioni ya pesa waliweka mfukoni.
  10. M

    Sudan ya kusini yahamisha mjii mkuu

    mtoa mada yuko sahihi kabisa, serikali inapiga danadana kuhamia dodoma kwa kipindi kirefu mno, hivi karibuni Mh. waziiri mkuu PINDA alisema serikali inaanda mchakato wa kupata maoni ya wanachi kuhusu kuhamia Dodoma au kutokuhamia! issue ilikua kutekeleza sasa imerudi tena kutafuta maoni ya...
  11. M

    Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

       nenda hospitali na zingatia ushauri wa daktari, usitafute shortcut itakucost sana ndugu!
  12. M

    Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

    nenda hospitali na zingatia ushauri wa daktari, usitafute shortcut itakucost sana ndugu!
  13. M

    Nyama za pua kwa mtoto

    mpeleke CCBRT -DAR kama ni mtoto wa chini ya miaka mitano ni bure anafanyiwa operation anapona kabisa, achana na hizo dawa na gharama ya laki sita na nusu.
  14. M

    Nashindwa kupanga bajeti ya mwezi, nifanye nini ili niweze?

    asante sana LATN na TULIZO kwa michanganuo ya michango yenu makini, hakika mmetoe darasa la nguvu sana. Big up!
  15. M

    kirefu cha fifa

    una masaburi makubwa hadi kufikiri inakuwa shida, pole sana!
Back
Top Bottom