Search results

  1. Joel Kisoka

    Kwanini Wakristo sio wafanyabiashara wakubwa na matajiri?

    Kuna vitu vya kufikiria lakini si Jambo kama hili.......Tafuta kazi ili usiwaze ujinga
  2. Joel Kisoka

    Kwanini NECTA haitangazi matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili!?

    https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/41400851 Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Joel Kisoka

    Barua ya wazi kwa Mbunge Nape Nnauye

    Ndugu Nape salaam, Kati ya jambo lililonishangaza na kunifikirisha Sana ni kile ulichochapisha Ndugu Nape Nnauye ambaye ulipuuzia kuwa wewe ni mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na muwakilishi wa wananchi wa Jimbo lako la Mtama. Katika kumjibu Ndugu Humphrey Polepole ambaye...
  4. Joel Kisoka

    Rais Samia Suluhu Hassan: Hii ni Serikali ya Awamu ya 6

    Kwani katiba inasemaje ndgu kuhusu awamu za serikali, isije ikawa unawatuhumu wasomi wetu bure Tu kwenye hili[emoji849][emoji848]
  5. Joel Kisoka

    Shule ya Msingi ya Museveni, Chato: Watoto wa nani watasoma humo?

    Hii limbwata[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  6. Joel Kisoka

    Kwenye mahojiano na Wasafi TV, Polepole kaupiga mwingi

    Jamaa hataki kushiriki dhambi ya usaliti inayoendelea
  7. Joel Kisoka

    Kwenye mahojiano na Wasafi TV, Polepole kaupiga mwingi

    Lazima itakua ni mvuvi ww[emoji23]
  8. Joel Kisoka

    Kwenye mahojiano na Wasafi TV, Polepole kaupiga mwingi

    Mtu ukiwa na njaa akili yako humezeshwa chochote
  9. Joel Kisoka

    Kwenye mahojiano na Wasafi TV, Polepole kaupiga mwingi

    Kama umepanick Kaka[emoji23][emoji23] kwani unaumia ukiwa wapi[emoji22]
  10. Joel Kisoka

    Kwenye mahojiano na Wasafi TV, Polepole kaupiga mwingi

    Sio CCM Bali nchi Kwa ujumla kuna wafanya biashara, waajiriwa, wanasiasa, na wengine wengi ni wahuni huu uhuni anaozungumzia Polepole ni broad term inabidi uwe top notch kumuelewa
  11. Joel Kisoka

    Kwenye mahojiano na Wasafi TV, Polepole kaupiga mwingi

    Ukabila ni hatari Sana[emoji51][emoji51]
  12. Joel Kisoka

    Kwenye mahojiano na Wasafi TV, Polepole kaupiga mwingi

    Maendeleo hayaletwi na chama cha siasa Jambo la msingi na muhimu ni ushirikiano wa wananchi na serikali Yao China wangeangalia mambo ya vyama wasingefika hatua waliyopo leo
  13. Joel Kisoka

    Kwenye mahojiano na Wasafi TV, Polepole kaupiga mwingi

    Magufuli tuliyemfahamu Enzo za JK ndo huyo WA Enzo zake kwani [emoji41] huoni alikua Moto zaidi
  14. Joel Kisoka

    Kwenye mahojiano na Wasafi TV, Polepole kaupiga mwingi

    Polepole anawaumiza kichwa Sana wakina Nape [emoji124]
  15. Joel Kisoka

    Kwenye mahojiano na Wasafi TV, Polepole kaupiga mwingi

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  16. Joel Kisoka

    Kwenye mahojiano na Wasafi TV, Polepole kaupiga mwingi

    Well said mkuu[emoji124]
  17. Joel Kisoka

    Kwenye mahojiano na Wasafi TV, Polepole kaupiga mwingi

    [emoji848][emoji848][emoji848]
  18. Joel Kisoka

    Viongozi wanaomsifia sana Rais Samia wachunguzwe

    Uchawa umetawala Sana viongozi wetu hasa hao WA old school before Magufuli's reign
  19. Joel Kisoka

    Kwenye mahojiano na Wasafi TV, Polepole kaupiga mwingi

    Kama KAUPIGA mwingi tusiseme Mzee Acha kuwa Kama hanangwa
Back
Top Bottom