Search results

  1. diamond d

    Ushauri kuhusu Terios Daihatsu 1999

    Kuna mtu anauza Terios Daihatsu 1999 2m, anasema changamoto ni gearbox, Tafadhali kwa wazoefu wa hii gari Terios Daihatsu. Naombeni msaada hasa uimara na ulajiwake wa mafuta
  2. diamond d

    Maana ya Upendo ni hii

    1 Wakorintho 13 (Biblia Takatifu) ¹ Nijaposema kwa lugha za wanadamu na za malaika, kama sina upendo, nimekuwa shaba iliayo na upatu uvumao. ² Tena nijapokuwa na unabii, na kujua siri zote na maarifa yote, nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima, kama sina upendo, si...
  3. diamond d

    Pata Hekima, Maarifa na Busara hapa

    UZI HUU NI KWA AJILI YA KUPATA HEKIMA, MAARIFA, BUSARA NA MAMBO KAMA HAYO. Tafadhali Heshimu uzi huu na Mungu atakubariki. 1. Wahurumie Maskini maana huko ni kumpendeza Mungu. Nafsi hiyo sio mali yako basli umepewa na Mungu ili kutufaidia wengine. Ukienenda kwa kufuata matakwa yako, Mungu...
  4. diamond d

    Msaada nataka kufungua yard ya mbao Dar es Salaam

    Kwa wazoefu naomba kujua faida na changamoto za kufungua Yard ya mbao jijini Dar es Salaam au Arusha na Mwanza. Ushauri wako ni Muhimu sana ndugu.
  5. diamond d

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kipo Njia Nne, Buyuni, DSM

    Kiwanja kinauzwa Kipo maeneo ya Njia nne, Buyuni Dar es Salaam, Kimepimwa, Kina Hati, Kipo maeneo ya Hadhi nzuri kabisa, Umeme, Maji, Barabara, Maduka, Shule ✓✓✓ Kina ukubwa wa Sqm 1010m², BEI KWA SQ M² ni Tsh 22,000/= Bei kiwanja ni 22m Tuwasiliane Piga 0762027102 PIA APARTMENT TATU ZIMEFIKIA...
  6. diamond d

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kipo Buyuni Dar es Salaam

    Kiwanja kinauzwa Kipo maeneo ya Njia nne, Buyuni Dar es Salaam, Kimepimwa, Kina Hati, Kipo maeneo ya Hadhi nzuri kabisa, Umeme, Maji, Barabara, Maduka, Shule ✓✓✓ Kina ukubwa wa Sqm 1010m², BEI KWA SQ M² ni Tsh 22,000/= Bei ni Sh 22m Tuwasiliane Piga 0762027102/ PIA APARTMENT TATU ZIMEFIKIA...
  7. diamond d

    Tuna Print Mabango na Vitu mbalimbali

    Huduma zetu TUNATENGENEZA MABANGO YA AINA ZOTE - Signages - Mabango ya 3D - Mabango ya Taa (Box Lights) - Mabango yakawaida Tunaprint: T-shirts, Business cards, Sticker za aina zote Vinly, Contravision, Reflective, pamoja na Banners. BOOK NOW WhatsApp /Call Us: +255 762 027 102
  8. diamond d

    Dar es Salaam - The Largest city in EA

    Dar es Salaam (Dar) (from Arabic: دار السلام‎ Dār as-Salām, "the house of peace"; formerly Mzizima) is the former capital as well as the most populouscity in Tanzania and a regionally important economic centre. Located on the Swahili coast, the city is one of the fastest growing cities in the...
  9. diamond d

    Changia Mawazo muhimu Kwa Tanzania yetu

    Ndugu watanzania, napenda kuanzisha Uzi huu muhimu Kwa maendeleo ya Taifa letu. Ni kwamba, baada ya miaka mingi kupita, ni miaka hii jiji letu la Dar es Salaam limekuwa likitajwa sasa katika Top 10 tofautitofauti. Mfano: Imo kwenye Top 10 ya miji mizuri Africa, Top 10 ya miji inayokua Kwa kasi...
Back
Top Bottom