Search results

  1. H

    Line za lipa namba zina kazi gani kwa mawakala? Wanauza kitu gani?

    Hizi line za lipa kwa sasa zimejaa mtaani kiasi kwamba limetikisa soko kubwa kwa mtandao mzima wa uwakala ambao hapo zamani ulikuwa na faida kibao. Ukiangalia karibia mawakala wote wana line za lipa na huku vibanda vyao havina hata bidhaa ambazo zinauzwa Hivi hizi kampuni za simu zimeona njia...
  2. H

    Zanzibar vs Darfur

    Nipo hapa kuelezea uhalisia wa mambo jinsi yalivyo na hii ni kutokana na matukio ya kihistoria ambayo dunia kwa kipindi fulani kimepitia na bado kinaendelea kupitia, vita vya Russia na Ukrein, Israel vs palestinian, bokoharam vs ecowas, M23(rwanda) vs congo n.k Zanzibar kama taifa ndani ya...
  3. H

    Asili ya wazungu na wengineo hii hapa

    Watu wenye asili tofauti na waafrika wenye nywele ngumu ni matokeo ya mwingiliano ya malaika na wana wa wanadamu.
  4. H

    Kiswahili kuthaminiwa kwako ndiyo uhuru wetu

    Jikite kwenye dhana ambayo inajieleza hapo juu Hakuna ukoloni mbaya kama ukoloni wa ki-utamaduni. Tunajiita watanzania na lugha yetu ya taifa ni kiswahili, ni lugha ambayo imewaunganisha watanzania na kujiona wamoja Halafu ... Tunategemea lugha za nchi nyingine hasa (kiingereza) kama lugha...
  5. H

    NECTA imedanganya umma kidato Cha pili matokeo ni mabaya mno

    Kwa sasa ukipata daraja la D kwenye masomo mawili tu umefaulu Masomo yapo zaidi ya 9 ila kupata D mbili tu imekuwa mtihani
  6. H

    Una mtoto wa kiume halafu unampeleka boarding?

    Hii kwa wanaume!!! Kama wewe ni baba na unataka kumtengeneza mwanao awe baba, usikubali kumpeleka mwanao kwenye shule za boarding... Ajira zipo mtaani...mfanye mwanao ajue kitaa zaidi kwa sababu mafanikio ya mtoto yanategemeana na mazingira yanayomzunguka.
  7. H

    Alama za misalaba ni upagani

    Wasabato walikuwa wanapinga alama ya msalaba lakini cha ajabu kwenye nembo yao kuna alama ya msalaba
  8. H

    Msaada: Gari la mizigo toka Dar hadi Tarime

    Nipo njia panda ya Gairo Morogoro nahitaji kupata gari la mizigo linalotika dar hadi tarime coz kuna mizigo nahitaji kusafirisha
  9. H

    Huko ujaluoni ndani ni hatari, Uchawi umetawala vibaya mno

    Mhmmmmm! Uchawi mbn kila sehemu upo hata ikulu upo!!!! Waaambie waache usengeremala
  10. H

    Al Jazeera inamilikiwa na Hamas? Mbona wanawatetea sana Magaidi kiasi cha kupindisha ukweli ili kujenga chuki kwa Israel

    Roketi moja ndio ilipue hospital nzima acheni utani, kucheza mziki usio wahusu
  11. H

    Ushauri Wizara ya Elimu: Nyadhifa zitolewe kwa kuzingatia Kiwango cha Elimu, kipaumbele kikiwa kwenye elimu ya juu zaidi

    Mnasoma ili muwe viongozi au kuja kutengeneza kizazi bora kijacho
  12. H

    DOKEZO TAMISEMI tufahamisheni, lazima Mtumishi alipie fedha ili apate uhamisho?

    Tamisemi ni janga katika nchi hii imehodhi mamlaka kwenye wizara ya elimu. Tuhahitaji wizara ya elimu inayojitegemea bila kuingiliwa na tamisemi.
  13. H

    Kinachoendelea Kigoma kuibua wachawi ni udhalilishaji, upuuzi na uchonganishi

    Mtoto wa kaka yangu aliponeshwa na hawa watu amini usiamini Unajua ilikuwaje.......... Mtoto wa bro. alikuwa mwenye afya njema hadi alipotimiza miaka 2 ndipo akaanza kuugua na kukonda huku akijisaidia kinyesi cheusi Alikonda na kubakia mifupa hospitali alitumia dawa lakini hakupata unafuu...
  14. H

    Nini kinasababisha watu wa Afrika Magharibi kuwa na miili mikubwa kuliko wengine?

    Enzi za ukoloni kwenye biashara ya utumwa waarabu walikuwa wanachagua wanaume wenye vimo vikubwa na wenye nguvu. Baada ya kutumikishwa huko ulaya na uarabuni wasalia yao waliuwawa wote. Ila waafrika magharibi walichukuliwa utumwa bara la marekani wengi walibaki na kuendeleza kizazi hiki ambacho...
  15. H

    Mkulima, tafsiri yake ni umaskini hii sio sawa

    Ngoja wakue ndio wanajua hawajui
  16. H

    Kwanini Mafia isiwe mkoa wa 32 wa Tanzania?

    Hivi visiwa vikipewa kipaumbele hadhi kubwa huwa vinasumbua sana kudai uhuru wao
  17. H

    Hivi ni kwanini mzazi yupo radhi akusomeshe mpaka PhD lakini asikupe mtaji wa kufanya biashara?

    Ukafanyie biashara halafu baadae umgeuke uje kumtoa kafara
Back
Top Bottom