Search results

  1. Zeddicus Zu'l Zorander

    Wapi nitapata JBL bluetooth speakers original Mwanza?

    Ni changamoto sana, kuna jamaa yangu aliagiza Dar ila nahsi amepigwa copy maana inagonga kiasi alafu haikai na chaji. Mi nimeamua kuchukua ya oraimo angalau najua sio copy na inagonga vizuri sana ukilinganisha na bei yake.
  2. Zeddicus Zu'l Zorander

    AZAM MEDIA tafuteni njia nzuri za kurecord mechi katika uwanja wa UHURU, angle mnazo-record ni za ovyo

    Huyu refa wa namba nne huku nje mbona simuelewi mbona kama ana shughuli nyingi
  3. Zeddicus Zu'l Zorander

    Dereva Amelewa sanaGari aka lori ameliingiza porini karibu na Zesko

    Umebeba familia yako unaenda kupumzika kijijini, unakutana lilevi kama hili halioni hata wapi linaenda
  4. Zeddicus Zu'l Zorander

    Serikali ipige Marufuku Nyimbo za Dini ya Kikristo Baa

    Niko bar hapa amepita mdada ana form anachangisha hela ya kununua kiwanja cha kanisa, walevi wanajaza form kama hawana akili nzuri
  5. Zeddicus Zu'l Zorander

    Nimenunua dish la Azam sina ela ya kumwita fundi anifungie

    Haya maisha haya, juzi kati hapa nimepaka rangi nyumba yangu, ile mvua ya kwanza kunyesha ukuta juu kidogo ya msingi ukawa unachafuliwa na maji ya kwenye bati yanayomwagika ardhini, kutafuta fundi akanipa bei hazieleweki. Nikasema kwani sayansi ya hapa si kutafuta slope tuu, nilitenga wikiendi...
  6. Zeddicus Zu'l Zorander

    Tetesi: TARURA MWANZA: Huu ni wizi, mkaliangalie hili haraka sana

    Mbaya zaidi hakuna msg inyoingia, unakuja kukuta na faini juu
  7. Zeddicus Zu'l Zorander

    90% ya wanaume waliooa Tanzania hawavutiwi na wake zao

    Ndoa ninzaidi ya kuvutia kwa sura na umbo, mimi leo hii wakiniambia nivunje ndoa nichague mke mwingine, nitamchagua huyuhuyu niliye naye maana naskia raha tuu kuwa karibu naye ingawa sio pisi kali
  8. Zeddicus Zu'l Zorander

    Car4Sale Toyota Kluger For Sale

    Kweli hapo wanazingua sana aisee Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
  9. Zeddicus Zu'l Zorander

    Huu ni wakati sahihi wa kununua viwanja Dar na kukamata maeneo nje ya mji

    Maeneo mengi vimepimwa, na uzuri ni kwamba havijamilikishwa, kwahiyo ukinunua process za umiliki unafanya mwenyewe. Bei inategemea na eneo lakn kwa kiwanja cha 20*30 unaweza pata kuanzia 3 M
  10. Zeddicus Zu'l Zorander

    Huu ni wakati sahihi wa kununua viwanja Dar na kukamata maeneo nje ya mji

    Sijui kwa mikoa mingine, ila Mwanza watu wanajenga sana kuanzia km 15+ , watu wengi wamejenga usagara ambayo 25 km from city centre, ukija Ilemela watu wamejenga kuanzia Ilalila, Isela, Masemele na kwenda mbele hukoa ambazo 20+ km , sehemu kama buswelu ni within 10 - 15 km from city centre na...
  11. Zeddicus Zu'l Zorander

    Pata Jezi za msimu mpya

    Sema jamaa nimekukubali uko very positive kwa kila comment
  12. Zeddicus Zu'l Zorander

    Series ya night agent ni moto sana [emoji91]

    Kweli kabisa, mimi nilijitahidi lakn ilipofika episode ya 3 uzalendo ukanishinda nikaipiga chini. Ni ya hovyo mno
  13. Zeddicus Zu'l Zorander

    Nimenunua home theater LHD657 Model, lakini cha ajabu ina Sauti ya kawaida sana

    Pole sana, mimi nilichukua sound bar yake ya watt 400, sijutii, ina mziiki mzuri sana
  14. Zeddicus Zu'l Zorander

    ATCL mnaboa sana, ndege ya kwenda mwanza saa 3:00 usiku mpaka saa 7:00 usiku mpo kimya tuu abiria tunaumwa na mbuu tuu

    Ndio tunaboard muda huu saa 7:20 usiku kwa safari ya saa 3:00 usiku, nilikuwa najua najua nitawahi harusi ya mshikaji wa damu ndio ishashindikana yaani
Back
Top Bottom