mimi nilifikiri umejivua na uanachama, unaukana huku unasema utaendelea kupambania demokrasia! Ushauri wangu mdogo tu hamia sisiemu ukapambanie democrasia huko.
mkuu umenikumbusha nakumbuka enzi hizo zitto akiwa katibu wa daruso, ilikuwa kituko kabisa jamaa mnafiki sana, mimi nilijua hawezi fika mbali lazima asaliti......alisha kataa kufanya mgomo siku moja pale nkrumah vijana wakakasirika sana
hana lolote zitto, alikuwa na ----- mmoja anaitwa...
ukweli utabaki palepale zitto hana sifa za kuwa mwenyekiti wa chadema, wala kugombea uraisi........ila kama anafiri kakomaa kisiasa ahamie ccm kama ndugu yake walidi aman kaburu....simple like that aende akagombee uenyekiti huko ccm ambao wanamtuma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.