Search results

  1. B

    ANZISHENI TIMU ZENU!

    Nimefurahia sana Serikali kuwapiga 'stop' wafanyabiashara wanaonyemelea kuwekeza kwenye vilabu vikubwa vya soka Tz, Yanga na Simba. Ushauri wangu kwa hili ni kuwataka wafanyabiashara hawa kuanzisha vilabu vyao kama alivyofanya mwenzao kwa kuanzisha Azam na ikawa moja ya timu zinazofanya vizuri...
  2. B

    Misemo mingine mbona mimi siielewi

    Nilikuwa napitia blog moja nikakuta habari za Mkuu m1 wa Mkoa alikuwa kwenye ziara, kwenye comments mtu akaandika 'Mkuu ana chura', nikashindwa kuelewa maana yake, wanaoelewa naomba kuelimishwa
  3. B

    Hizi ni kali za mwaka

    1. Mama kapanda daladala, tiketi aliyopewa kusoma mmiliki wa gari ni mumewe. Kumuuliza konda konda akamjibu 'mbona ziko nyingi tu!' mama hoi. Hii ni Dsm 2.Jamaa alipofariki matangazo ya kifo yakatoka mawili kwenye gazeti la siku moja. Tangazo 1 toka kwa mkewe na jingine toka kwa hawara. Sasa...
  4. B

    Kwanini namba za simu na calculator zimewekwa tofauti?

    Namba za simu zinaanza na 1 hadi 3 pale juu mwanzoni, lkn calculator zinaanza na 7 hadi 9, nimechunguza mara nyingi nimekuta hii kitu, iko ikoje hii wana jf?
  5. B

    Kichwa changu kwa kusahau kinaongoza!

    Siku moja asubuhi naenda kazini kichwa ilinichanganya mpaka nikajiuliza hivi kichwa yangu ndo inaongoza kwa kusahau duniani au? Asubuhi natoka ndani nikachukua ufunguo wa gari nikatia mfukoni. 1.Kufika mlango wa kutokea nje nikakumbuka nimesahau kuchukua funguo za gari; 2.Niliporudi chumbani...
  6. B

    Mkanda wa ngono ulivyotutesa!

    Wakati nasoma nilienda likizo kwa kaka yangu, na pale akawa yupo mdogo wa shemeji, yaani mke wa bro. Siku moja mwisho wa wiki waliondoka kwenda matembezi tukabaki nyumbani na mdogo wake shemeji, basi kumbe yeye alikuwa na mkanda wa picha za ngono lkn pale ndani hakuna aliyekuwa anajua. Bro na...
  7. B

    Kwanini mataifa makubwa yameguswa sana kupigwa Paris?

    Naomba tu kueleweshwa, Kwanini mataifa makubwa yameumizwa sana na kitendo cha Paris kushambuliwa na ISIS kuliko wanavyochukulia Boko Haram na Al Shaabab wanavyoshambulia mataifa ya Afrika? Juzi Obama ameapa lazima awapoteze ISIS katika uso wa dunia kwa kitendo kiovu alichofanya, mbona haapi...
  8. B

    Kamati ya watu 32 ya kumsaidia Magufuli iko wapi?

    Nakumbuka iliundwa kamati ya watu 32 ya kumpiga tafu Magufuli kwenye kampeni, mbona siisikii? Magufuli kaachwa peke yake, yaani wamemsusia, au wameona hauziki nini?
  9. B

    Uandikishaji BVR (Kuuza plot) umekuwa ajira

    Mtu anakamata nafasi llakini lengo sio kujiandikisha bali ni kuiuza. Sasa hivi huo mtindo umeenea sana na unaitwa kuuza plot, plot moja imefika Tsh. 20,000= na kuna watu ndio kazi zao za kila siku na wanaweza kuuza mpaka plot tatu kwa siku.
  10. B

    Maana ya neno ushoroba

    Naombeni kueleweshwa maana ya hili neno, nilisikia likitumiwa redioni "nchi za ushoroba wa Kaskazini".
  11. B

    Ni kampuni gani zinauza hisa crdb kwa sasa?

    Habari wana jf? Naomba kufahamishwa kampuni zilizoko sokoni sasa hivi kuuza hisa zao CRDB kwani mara a mwisho zilikuwa Mkombozi Bank na AliBaba.
  12. B

    Kama huu ubaguzi kweli upo basi inatisha

    Nimesikia watu wakiongea eti wafanyakazi wa majumbani na wale kwenye maduka ya wahindi wakijisikia kwenda kujisaidia hawaruhusiwi kutumia vyoo vya pale ndani bali hupewa hela waende vyoo vya kulipia. Kama hiyo ni kweli basi bado tuko ktk hali mbaya!!
  13. B

    Eti ni kweli kuna kibali cha asiye jwtz kuvaa sare ya jeshi?

    Habari wana JF! Ni zaidi ya wiki sasa kumekuwa na malumbano kuhusu raia kuvaa sare za JWTZ na wengi wamekuwa wakiwatetea raia wasio askari kuvaa...
  14. B

    Naomba msaada jinsi ya kubadili homepage

    Habari wana jf. Naomba msaada kujulishwa namna ya kuhama homepage toka MSN kwenda Bing. Asanteni!!
  15. B

    Mwanafunzi anapopewa nusu mkopo

    Habari wana jf. Naomba kueleweshwa hii kitu nasikia mwanafunzi amepewa mkopo wa elimu ya juu 54%. Ni kwamba Bodi itamalizia hiyo 46% baadae au ni...
  16. B

    Pesa kuingizwa nchi moja toka nchi nyingine

    Nilisikia kwamba Benki Kuu ndiyo hudhibiti mzunguko wa fedha katika nchi na ndiyo inayoachia kiwango maalumu cha fedha kuingia ktk mzunguko huo kwa sababu za kiuchumi. Je, inakuwaje pale pesa zinapopelekwa/zinapoingizwa kwenye nchi nyingine? Mfano Tz kuna fedha zinazohamishwa taslimu kupelekwa...
  17. B

    Mh. Kessy umewapasha

    Eti Mheshimiwa, hivi hiyo mipasho huwa ukienda mjengoni unakuwa umeiandaa tayari au inajileta tu yenyewe kulingana na upepo unavyovuma pale Bungeni? Lakini sasa hivi tuondoe hofu kwani nimesikia Kenya wanachukua Pemba hivyo gharama za kuwalisha wao na watoto wao na wake zao zitapungua kwani...
  18. B

    Makonda wa daladala acheni hizo!

    Wako fasta kuchukua nauli toka kwa abiria lkn wanachelewa kurudisha chenji makusudi. ilisababisha siku moja nikasahau chenji ya elfu 5. Nawaombeni ukiwa na haraka ya kuchukua nauli ya abiria pia rudisha salio mara moja, sio unajining'iniza mlangoni mpaka ukumbushwe.
  19. B

    Hii nchi ina siri bwana!!

    Viongozi wakubwa wakiapishwa wanashikishwa Bible au Quran tukufu na kuambiwa , sema "nitatunza siri za nchi". Kisha anasema "naapa nitatunza siri za nchi". Jamani tujue kwamba hii nchi ina siri hatutakiwi tuzijue!!!!
  20. B

    Bega linauma, lakini nikikojoa linatulia

    Yaani kuna kitu kinapekecha hasa niamkapo asubuhi ndo balaa. Cha ajabu ni kwamba niamkapo asubuhi nikiwa nimebanwa sana na mkojo ndio bega linauma ile mbaya, nikienda kukojoa linaachia pole pole, lakini sio kwamba maumivu yanaisha, laa hasha, yanapungua...
Back
Top Bottom