Search results

  1. M

    Elections 2015 If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!

    Nakubaliana na wanaosema Magufuli atakuwa under control kwa 100% ikipungua itakuwa 99.9 na kuachiwa 0.1 kwa ajili ya kum control mkewe na family yake lakini madaraka yake yapo chini ya kimvuli cha mfumo anaokwenda kuutumikia.... Hakuna marefu yasiyo na ncha.....
  2. M

    Ushauri: Vyama vya Upinzani vifutwe, kibaki CCM pekee kama chama dola

    Si kushangazwa tu bali nasikitishwa pia kuona hata elimu tunayopewa watanzania wengi inatuandaa kuwa watwana kifikra na maamuzi ndio maana utaona hata wanao dhani kuwa ni wasomi bado wanashindwa kung'amua na kujiondoa katika mfumo kandamizi isipokuwa kwa wenye utashi, uthubutu na kujibidiisha...
  3. M

    Kiongozi mkubwa BAVICHA kujiunga na UVCCM kesho

    Hali ni mbaya sana kwa CCM sikuwah kuwaza kama itakuwa hivi hasa kwa kipindi hiki
  4. M

    Magufuli apigilia msumari kwa mafisadi

    Kwa mujibu wa taarifa mbali mbali ambazo tumesoma na kusikia katika vyombo vya habari inaonekana na yeye ni FISADI wa kutisha.
  5. M

    Je..? Hii ni rushwa, takrima, ama stahiki kwa kazi katika kipindi hiki adhim.

    Wakuu nisinge penda kuwa na maneno mengi lakini uzi ni kuhusu ongezeko la kile tunacho pokea mwisho na katikati ya mwezi kama malipo yaani mishahara pamoja na posho, ambapo katika kipindi hiki cha uchaguzi serikali imeonyesha kuwa mapenzi ya dhati kwa wafanya kazi wa wizara fulan fulan, katika...
  6. M

    Yaliyojiri viwanja vya Furahisha Mwanza: Mkutano wa kampeni ya Dr. John Magufuli - Oktoba 17, 2015

    Utenzi maalum kwa Mgombea mtu mwenye hekma hawezi kusikiliza ama kushabikia utenzi kama huo ni zaid ya mipasho hiyo ni michemsho .nonsense
  7. M

    Kwa haya ya Mwanza, kuna bomu linatengenezwa

    Kuna kijana anaitwa bofu ametoa ushairi kwenye mkutano kachefua ile mbaya hata ham ya kumskia Magufuli alicho taka kusema haina maana.
  8. M

    Nahitaji Rafiki wa kiume

    kumbe unatafuta mwalimu unfortunately mm ni IT technician nenda jukwaa la elimu utawaona
  9. M

    Hasira za nini Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete?

    M4C na kura tutazilinda tupo tayari kufa watoto wetu waishi vizuri kama ambavyo wao wanakuwa na hasira za kufanikasha wayatakayo kwa manufaa yao na familia zao, sitakuwa wa kwanza kufa ktk kusaka haki na hata kama wao watabaki je watabaki mpaka lini ikiwa kila mwenye maisha ni marehem mtarajiwa...
  10. M

    Kauli tata za Mama Salma Kikwete

    Da na hapa kwenye ngada noma wanataka kuimaliza nguvu kaz ya taifa pengine n mpango tu nao maana wtt wao hawatumii ili waendelee kututawala enhe siku izi si wanarithishana.
  11. M

    Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

    Umemaliza kiongoz nini 2ongeze.....!?
  12. M

    Kuna nini nyuma ya pazia mikutano ya UKAWA kurushwa recoded?

    mzee editing ya nn dunia ya utandawaz ;)
  13. M

    Mwanza washindwa kuvunja rekodi, Monduli wanachama 16,500, Mtama 17,090 warud...

    kutoka jiwe unusu xaxa n jiwe chee mkuu jana nahis alikuwa na majadilian kuhusu cc
  14. M

    KOMBORA za Mwisho Kuanza Kurushwa Oktoba 01

    ni kweli kiongoz tunashuhudia mengi ila lililo nifurahisha ni hili la sisi watu wa mguu pande mguu sawa TUMEONGEZWA POSHO mara mbili ya ile ya awali sasa unadhan ntahitaji vip kufuga ng'ombe wakat maziwa nyama na vitu vya ngoz napata bure... Hapa nasubir tarehe 60 pengine na salary itazidishwa...
  15. M

    Nampa kila kitu lakini anatoa penzi kama karanga

    Ana jini mahaba uyo inatakiwa asilimishwe......:-D
  16. M

    Kwanini wanaume wengi huwaogopa wanawake wenye sifa hizi?

    Upo sawa sana mwamba sina la kuongoza
  17. M

    Vyakula vya asili vinavyofurahisha katika makabila mbali mbali TANZANIA

    kweli mwamba NCHEMBE ata mimi mara ya kwanza kuona moyon nilishtuka bro
Back
Top Bottom