Search results

  1. Salummjr

    UShauri: Kwa ufaulu huu naweza kusoma kozi gani?

    Habari wapendwa, Nilikuwa naomba kuuliza kwa credit za masomo haya naweza kusoma course gani chuo kwa ngazi ya diploma? KISW - D ENG - C GEO - D CIV - D CHEMI - D PHY - F BIO - C MATH - F RELIGION - C
  2. Salummjr

    Vipi naweza kumsaidia huyu mdogo wangu rafiki yangu wa karibu?

    Habari wana JF kwa muda mrefu nimekuwa nikiishi nae huyu rafiki angu kama mdogo wangu wa karibu sana ila jambo alilokuja kuniambia leo na kunambia nimpe ushauri kidogo nilisita na nikamwambia anipe mda nitamjibu. Picha ipo hivi: Ni kijana wa miaka 22 - 25 ametokea kupendwa na msichana ambae ni...
  3. Salummjr

    Ushauri

    Matokeo yangu ya (CSEE) yapo ivi BIO=C CHEMI=D GEO=D ENG=C ISLAMIC=C CIVICS=D KISW=D PHY=F MATH=F Div: 3 point 25 Natak kwenda advance kwa combination ya CBG lakin nimeambiwa siwez kufany mtihan wa mwisho nikiwa kam candidates. Naomba ushauri wenu nirepeat tena form 4 au niend advance nifanye...
  4. Salummjr

    MSAADA

    Ivi mtu ambae anafanya mtihan kama pc kwa mar ya kwanza (yaan hakufanya mara ya mwanzo akafeli then aka reseat) je anakuwa saw na yule aliefany mar ya kwanza then aka repeat ? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom