Search results

  1. P

    Analalamika kuwa mke wake hamuandalii wala kumuita chakula kikiwa tayari na anamuachia ‘dada wa kazi’ afanye hivyo

    kuna wanaume wameolewa na wake zao na mbaya zaidi hawajui kama wameolewa..!!
  2. P

    Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

    Ha ha ha amewafanya misukule wake, mnashinda kusubiri hadithi za kutungwa kwan hamna kazi zingine za kufanya. Nyie ndio mnaofanya akina bashite wajiamin wakijua lazma 2020 warudi kutawala.idiot!!!!
  3. P

    Ajira kwa sasa zinatenganisha familia, Wanandoa wanaishi sehemu tofauti

    msijali tunawaletea treni ya kasi,, mtalala na wake zenu dar asubuh mtaenda Dom kazin,jion mtarud kwenye familia zenu. Cc msiba
  4. P

    Mfumo wa maisha ya Sasa japo nina shahada naona bado giza totoro

    Tuondoleee uoga wako hapa. biashara inataka uvumilivu na we unaoneka muoga wa kiwango cha juu... Okay nenda katumikie wenzako huku hakukufai.
  5. P

    Mke wa Askofu Gwajima Amkingia Kifua Mumewe “Mimi ni jasiri kama Simba, Mume wangu namfahamu”

    anaenda sokon na hammer ulitaka asemaje? ili aanze kwenda na miguu kama ww?
  6. P

    Swali lolote kuhusu mambo ya upande wa pili (kiroho)

    Je ni kweli naweza tengeneza my destiny kupitia mawazo na fikra zangu..nje ya destiny aliyonipangia Mungu.? je ni kweli mtu anaweza jitengenezea destiny yake au kila MTU ameshaandaliwa take HVO lazma atatembea humohumo??
  7. P

    ANAHITAJIKA KIJANA WA KUHUDUMIA SHAMBA LA KUKU

    nipo bukoba nipo tayar ..sijui namna ya kpm nisaidie 0718456529
  8. P

    Mara nyingine maisha ya ndoa ni Vita. Huyu jamaa sijui nimfanyeje?

    Mhh eti namwamin mke wangu mwaminifu, wakati huohuo huyo mwaminifu anafanya mambo kwa siri..ha ha haa broo upo gizan wewe
  9. P

    Kuwa makini na watu wako wa karibu

    Aonanvyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo-bible say
  10. P

    Kama haujaoa au kuolewa soma hapa na wengine ruksa kuwashauri

    Ndoa ni muunganiko wa kimwili na roho pia..iman nayo imesimama na roho pamoja..asa iman tofauti mnaaanzaje kuoana..eti beby nabadili dini kwa ajili yako ..mhhh peleka upumbavu huko
  11. P

    Sala ya Baba Yetu inasema “usitutie majaribuni”. Je, Mungu anaweza kufanya hivyo?

    Kiswail kina uhaba wa maneno ila Mungu hamjaribu MTU Bali anampima kama amefika level flan akuinue zaidi, kama vile shulen twapewa mitian tuvuke madarasa..i Kimbembe ni shetan yeye akikujaribu nia yake akuangushe ushindwe kuendelea mbele japokua hawez kufanya HVO bila kibali cha Mungu..na Mungu...
Back
Top Bottom