Search results

  1. Malcolm X5

    Binti kamaliza form 6 na ndoto za kusomea udaktari kwa matokeo ya Division 1 ya 9; Physics C, Chemistry C, Biology C, Maths C, amekosa mkopo

    1 point 6 anapata,tena PCB Labda kama course imejaa,kwa maana ufaulu Mwingi Wa 1.3 mpaka 1.5 Aopt Course Nyingine,Mkopo Chap
  2. Malcolm X5

    Marekani: Wizara ya Sheria yathibitisha Donald Trump aliondoka na Nyaraka za Siri za White House

    Putin's Puppet, Huyo hawezi tena kuwa POTUS Bora ukawa na hako kazee ikulu kuliko kutokuwa na Statesman, Ilishatokea Tz,The Madman Kwa kifupi huwezi kuwa na Rais Mwehu aongoze werevu,lilikuwa jambo la Muda tu
  3. Malcolm X5

    Ripoti ya UN: Iran imenyonga zaidi ya watu 100 kati ya Januari – Machi 2022

    Kati ya kitu wazungu/Westerners wameshindwa na hawataweza kamwe ni kubadili mifumo ya maisha ya Waarabu/persians namna ya kuishi.. Hii hata Obama aliiongelea kwenye kitabu chake 'Dream from my father' Hawa watu kuna makabila wanaamini ni uzao wa mitume and alike,ndio rahisi hata wao kuweza...
  4. Malcolm X5

    Jimbo la Ukonga, shida ni nini?

    Mbunge yeye kazi yake kuchukua wake za watu na kuwapangia nyumba,hakuna mbunge pale
  5. Malcolm X5

    Rais wa Malawi aghairi safari za nje kubana matumizi

    Anaamkia strategies za Jiwe,Mwenzie kaishalala Rip
  6. Malcolm X5

    Uingereza yasitisha safari za waomba hifadhi kupelekwa Rwanda

    Wanawadiscourage wazamiaji wote ulimwenguni,we unawaza kwenda uk unajikuta Kigali kwa mwamba,dadeqi.. Na Mwamba anajua kunusa $,kaishalamba $130Mil,anasubiri waneng'eneke hukoo
  7. Malcolm X5

    Kwanini kila binadamu ana kovu lisilofutika kwenye kidole cha shahada?

    Umenifanya nikague changu alafu hakuna kitu, hizo sijui myth za kinyakyusa 🤣🤣
  8. Malcolm X5

    Richard Temu, mlanguzi wa kakao Kyela anayepambana kuua Ushirika ili apate bei ya chini toka kwa wakulima moja kwa moja

    Hapo sasa,ndipo tatizo linapoanzia, Ila wakulima wanaonaga shida mambo ya usafiri
  9. Malcolm X5

    Ki Aziz apewa mama mpya na Watanzania. Makanjanja hawapo nyuma, yamegeuka machawa waandamizi

    Ila we jamaa, unaongea unajijibu mwenyewe tafran tu
  10. Malcolm X5

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Comedian yule kawaponza, Yaani kama umpe joti nchi,au Mpoki,alafu unategemea nini.. Tena unachapana na linchi kama Russia,utaumia tu
  11. Malcolm X5

    Vodacom M-Pesa acheni udokozi wa pesa zetu nitawashitaki

    Chamsingi ndugu jitoe kwenye huduma zao zote,songesha,sijui miito na makorokocho yote.. Hiyo kutuma tigo nadhani kuna lugha fulani ya biashara,wanadiskareji kutumia mtandao mwingine,so lazima wachaji ghali kidogo Mimi huwa wananila pale matumizi bila bando,ila nimeshtukia siku hizi, Nina uhakika...
  12. Malcolm X5

    Mwaliko wa Harry kwenda kwa familia ya William wapotezewa

    Ufalme unalindwa ndugu yangu,asili iende vizazi na vizazi,angalia Botswana yule young prince alivyopataga shida kuoa mzungu na kufanya Botswana hii unayoiona leo
  13. Malcolm X5

    Mwaliko wa Harry kwenda kwa familia ya William wapotezewa

    Hakuna kitu inawauma waingereza kama hiyo, Hapo Maana yake Prince George siku moja akiwa mfalme,atakuwa na cousins wenye asili nyeusi, Kwani hata Diana alichotaka kufanya kwa william,half brothers au sisters wangekuwa waarabu,wakamuondolea mbali.. Alafu Mambo mengine huwa hayafanywi na hao...
  14. Malcolm X5

    Kizazi cha sasa tambueni haya ndio mambo yanayoweza kukusababisha ukaua bila kujali Sheria

    We jamaa umemaliza kila kitu. Natofautiana na tafsiri ya kupuuzia mtu kukuchukulia mkeo. Msamaha una nguvu kubwa sana kuliko ilivyo kulipiza kisasi. Mtu anayeweza samehe ni Imara,while kulipa kisasi ni Udhaifu uliokithiri. Mimi nitawasamehe wote,unawapa nafasi kuredeem,na huwa inawatesa sana...
  15. Malcolm X5

    Wananchi DRC Waandamana kupinga Rwanda kuunga mkono kundi la waasi la M23

    Wewe Muulizeni Pk Tpdf Commando walichomfanya,hawezi Katu hata siku1 kuwa na jeuri hiyo,ana kiburi tu cha asili Kigali kuko uchi tu,si alikuwaga anamkashifu jk,unajua mzee wa Msoga aliochomfanya??
  16. Malcolm X5

    Wengi tunafikiria kumiliki chuma tatizo ni hasira zetu

    Hapa ndioo unaweza tofautisha the Weakest and the Strong person,kwani angemsamehe na kumuacha tu?? Lady kaonesha udhaifu(ambayo ni kawaida yao) ila mwanaume kaonyesha Udhaifu zaidi, Tuishi nao kwa akili ni msemo mpana zaidi ya inavyofikirika,si kuleta majonzi kwa wanaokupenda
Back
Top Bottom