MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,816
- 48,812
Aisee hivi hujui Amerca wanaongoza kwenda dubai, qatar nk?.. kula bata au unakaza fuvu. Wakenya uchawa umepitiliza.
Kwanza unatoka nje ya mada hii ndo tabia yako, kama huna hoja unatafuta sababu nyingine. Kubishana na watoto ambao wapo kwenye foolish age ni kupoteza muda.
Dubai hawana uzombi wa kidini, ila pia hawajiachii kula bata kama ilivyo Marekani, inabidi nyote mpatamani.