Search results

  1. H

    Joan Wicken, mwanamke aliyemjua Julius Nyerere

    Mie Binafsi ni shabiki Mwalimu ila wewe kwa Akili ya kawaida unaic ni Mwenye Kheri ikiwa yeye mwenyewe aliwai kusema unaweza kusema yeye alikuwa Dictator japo utakuwa unamuonea ila wenye akili timamu tulimuelewa.
  2. H

    Joan Wicken, mwanamke aliyemjua Julius Nyerere

    Picha: Nakala ya kitabu kilichoandikwa na Profesa Aili Mari Tripp kuhusu maisha ya Joan Wickens na uhusiano wake na Joan Wickens. Kitabu hicho kimechapwa na kampuni ya Mkuki na Nyota Na Ahmed Rajab KWA zaidi ya miaka 40, kila alasiri baada ya saa za kazi, Bi Joan Wicken alikuwa akikimbilia...
  3. H

    Taabini: Hashil Seif, mpigania haki asiyeyumba (Januari 12, 1938 – Oktoba 27, 2023)

    Gazeti La Dunia Taabini: Hashil Seif, mpigania haki asiyeyumba (Januari 12, 1938 – Oktoba 27, 2023) Ahmed Rajab Ahmed Rajab Na Ahmed Rajab UJUMBE wa simu ulipoingia asubuhi ya Ijumaa iliyopita, ulikuwa na maneno machache: “Ndugu yetu ameshatangulia mbele ya Haq leo saa moja na dakika arobaini...
  4. H

    Mizengwe dhidi ya Maalim Seif na Dkt. Salim

    Na Ahmed Rajab NILIWAHI kuandika kuhusu mazungumzo yangu na Mwalimu Julius Nyerere alasiri ya tarehe 5 Desemba, 1994, chumbani kwake katika hoteli ya Intercontinental, jijini Nairobi. Ilikuwa miezi saba kabla ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kumchagua mgombea wake katika uchaguzi wa urais wa mwaka...
  5. H

    Israeli: Demokrasia yenye dosari na ubaguzi uliozagaa

    Ahmed Rajab Maelezo ya Picha. Aliyekuwa Kiongozi wa Wapalestina, Yasser Arafat (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa zamani wa Comoro, Ahmed Abdallah (kushoto) na aliyekuwa Mufti wa Comoro Sayyid Muhammad Abdulrahman (kulia), wakati alipotembelea taifa hilo kwenye miaka ya nyuma...
  6. H

    Miaka 76 iliyopita (mwaka 1947), hakukuwa na nchi inayoitwa Israel

    MGOGORO PALESTINA, ISRAEL; UTAKATIFU JERUSALEM KIKWAZO CHA AMANI KISIASA na kihistoria kwa marejeo ya miaka 500 hadi milenia moja iliyopita, Israel ni wavamizi, waliingia kwenye miliki ya Palestina na kuunda taifa lao ndani ya ardhi ya Wapalestina. Miaka 76 iliyopita (mwaka 1947), hakukuwa na...
  7. H

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Netanyahu na wenzake ni chui wa karatasi. Na Ahmed Rajab. NILIPOWASILI Gaza kwa mara ya kwanza Mei 2009 nilikuwa na hamu kubwa ya kukutana na Ismail Haniyeh, kiongozi wa Hamas (ufupisho wa Harakah al-Muqawamah al-Islamiyyah) na aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Palestina. Hamas ni chama cha...
  8. H

    Wapalestina wajifunze kwetu, nasi tujifunze kutoka kwao

    Wapalestina wajifunze kwetu, nasi tujifunze kutoka kwao Ahmed Rajab “JITAYARISHE kunyanyaswa na kudhalilishwa,” ndivyo alivyoniambia sahibu yangu mmoja mwenye asili ya Kipalestina kama miaka miwili iliyopita. Alikuwa akiniaga baada ya kunikirimu kwa chakula cha usiku nyumbani kwake mjini Amman...
  9. H

    Salim ni Rais wa tanzania ambaye haikuwa riziki

    SALIM NI RAIS WA TANZANIA AMBAYE HAIKUWA RIZIKI DOKTA Salim Ahmed Salim, alipoteuliwa kuwa Waziri Mkuu, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kilikuwa kipindi cha uhaba mkubwa wa bidhaa. Nguo, viatu, sabuni, dawa za meno, vilikuwa adimu. Alikalia kiti baada ya kifo cha Edward Moringe Sikoine...
  10. H

    Nusura wanawake waniadhiri kwenye ‘Bustani ya Ibilisi’

    Mwandishi nae ni Binadam kumbuka ilo...
  11. H

    Nusura wanawake waniadhiri kwenye ‘Bustani ya Ibilisi’

    Imeletwa humu na Mohamed Said wa tatu vipi unatatizo na ilo ?
  12. H

    Nusura wanawake waniadhiri kwenye ‘Bustani ya Ibilisi’

    Nusura wanawake waniadhiri kwenye ‘Bustani ya Ibilisi’ Ahmed Rajab Picha: Mwandishi wa makala haya, Ahmed Rajab (kushoto), akiwa na mwandishi mwenzake wa Tanzania, Salim Kikeke, wakiwa na tuzo zao zilizoenzi mchango wao katika kukuza lugha ya Kiswahili. Tukio hilo lilifanyika London...
  13. H

    Hotuba nyingi za viongozi wa Afrika kwenye mkutano wa UN zimejaa malalamiko

    Ukweli ni Huu kifupi ni Aibu mie mtazamo wangu naona Trump alikuwa sahihi juu yetu watu weusi AFRIKA yote imejaa vituko kutoka kwa hao watawala wetu mie Binafsi naona uko ntakuja kuzikwa tu.
  14. H

    Kitabu: Maisha ya Malcom X

    Safi sana ndugu yangu hakika kuna Elimu kubwa ndani yake.
  15. H

    Ahmed Rajab na Rais Mstaafu Jenerali Ibrahim Babangida

    Ahmed Rajab na Rais Mstaafu Jenerali Ibrahim Babangida KAMA kuna mtawala wa kijeshi aliyewaweza Wanigeria basi alikuwa Ibrahim Badamasi Babangida (IBB) au “Maradona”, kwa umaarufu wake wa mitaani. Si bure kwamba alibandikwa lakabu hiyo ya jina la mchezaji soka maarufu wa zamani wa Argentina...
  16. H

    Nini matokeo ya mapinduzi ya kijeshi Niger?

    Na Ahmed Rajab WIKI imepita kama upepo tangu Jumuiya ya Uchumi ya Afrika Magharibi (Ecowas) itangaze kuwa inawapa wapinduzi wa kijeshi wa Niger muda huo wa wiki moja wamrejeshe madarakani Rais waliyempindua, Mohamed Bazoum, na wayazime mapinduzi yao. Ecowas ikatoa vitisho kwamba lau wapinduzi...
  17. H

    Ya kina Mwalimu, ‘Jibwa Kubwa’ na ‘Top Pen’

    Chen Boda, aliyepata kuwa “Top Pen” wa Chama cha Kikomunisti cha China. Picha kwa hisani ya Memoires de Guerre SI kwamba najaribu kujipendekeza kwa muasisi na Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Dunia ambaye siku hizi amejipa lakabu ya ‘Top Pen’. Lakini nataka kuyaanza makala haya kwa kusema kwamba...
  18. H

    Abdulrahman Babu hakuupinga Muungano lakini…

    Na Ahmed Rajab SIKU ilipotangazwa kwamba Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar zitaungana, Abdulrahman Mohamed Babu aliyekuwa waziri wa mambo ya nje na biashara za nje wa Zanzibar, hakuwako visiwani. Alikuwa Jakarta, Indonesia, alikokwenda kutafuta masoko ya karafuu za Zanzibar, zao...
  19. H

    Prof. Mohamed Hassan Abdulaziz: Mswahili aliyetambulika kimataifa kuwa gwiji wa isimu

    Na Ahmed Rajab PROFESA Mohamed Hassan Abdulaziz aliyefariki dunia jijini Nairobi asubuhi ya tarehe 10 Julai akiwa na umri wa miaka 91 alikuwa gwiji wa isimu, Kiswahili na Kiarabu. Zaidi ya hayo alikuwa msomi wa wasomi wenye kuhusika na mambo ya lugha na alikuwa mwalimu wa waalimu wa fani hiyo...
  20. H

    Matumizi sahihi ya lugha na upeo wa fikra

    Gazeti La Dunia Matumizi sahihi ya lugha na upeo wa fikra Ahmed Rajab Ahmed Rajab Mwandishi wa makala haya, Ahmed Rajab, akizungumza kwenye Baraza la House of Lords jijini London Julai 5, 2023. Hapa alikuwa akitoa mada kuhusu Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Kiswahili. Picha kwa Hisani ya Karam...
Back
Top Bottom