dirisha dogo la usajili linakuja halafu samatta ajiumize kwasabb gani uzalendo au? https://jamii.app/JFUserGuide off wacha ajikinge apamabne kwa wazungu amabao watamtunza than kupambana kwa kivuli cha uzalendo halfu akiumia tunamcheka
Mkuuu tunaelewa Sana na hakika historia itakuja kukumbuka insha'Allah wapo wanaousmbuliwa na zittophobia lkn hili limekwisha halina nafasi tena KWa sasa. Pambeneni tuko nyuma yenu dhidi ya nduli CCM
Zitto hapa si amejibu na ameeleza vzr hivi hii mitego ambayo inapigwa mziki na CCM na Sisi tunakatia mauno hatushtuki Tu. Lissu hawezi kuacha CDM lkn anaona umuhim wa kuungana upinzani siasa za umimi hazina wakati Kwa sasa.
Tullow Yuko huko turkana, unahisi atalileta tena tz Bora acconect na la hoima liende lamu maana pipeline itabeba ya Uganda na kenya. Huyo ndio uhuru mnyama snaa
Huyu muhazini alikuwa pale Vatican naskia amevifira vitoto vya kiume alipokuwa Australia Sana dahh hawa ndio wamefanya wazungu wasiamini Mungu Kwa kuwa waliwafanyia unyama Sana walivokuwa wadogo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.