Search results

  1. Baba Imani

    Tujadili Madoido ya Lafudhi Kwa Diaspora

    Hii imetulia sana!
  2. Baba Imani

    Ufisadi wa wabunge katika biashara ya Nguzo za TANESCO

    Mkuu mtaje basi Kwa jina ili tupashane
  3. Baba Imani

    Cv za wabunge viti maalum chadema;- sabrina mrasi sungura .

    You are getting me wrong son, I said suppose it is true. I meant you didn't come up with anything tangible to drill your point home! Go home and do your home work, son!
  4. Baba Imani

    Cv za wabunge viti maalum chadema;- sabrina mrasi sungura .

    Supose it is true, that isn't a new phenomenon in Tz. Do you know that WILLIAM MGANGA NGEREJA IS NOT THE ONE YOU KNOW? YOU MAY AS WELL RECALL THAT MOST OF THE "Doctors" I mean SO CALLED PHD HOLDERSin political position are bogus and not rel scholarly honors? Haya endeleeni
  5. Baba Imani

    Jamani e tupieni maneno chap chap.Mdee na Lucy waikataa keki yenye rangi ya kifisadi

    Du! Kweli njaa inamdhalilisha mtu. Kujikomba hadi unatengeneza keki ya rangi ya chama. Ndo wakuone umekunywa maji ya bendera? Nduguyo mwendawazimu akitembea uchi wewe mwenye akili ndo unaona haya.
  6. Baba Imani

    Kongwa Beef kutoka NARCO sasa yaingia ofisini na nyumbani kwako

    Hongera narco. Kuongeza maboresho tafadhari fungua anuani twitter kwa ajili ya instant messeging.
  7. Baba Imani

    Hapa Mwanza hii ni kero!

    Mkuu mtafute public relations wa jiji, anaitwa joseph mlinzi. Hili anaelewa pa kuliwasilisha
  8. Baba Imani

    Precision air kuna uozo uliokithiri Mwanza!

    nunua wakushikishe pakacha la mavi. Washachuma sasa wanatafuta pakutokea. Hukumbuki yale ya kampuni ya mwananchi iliyoanzisha kiwanda cha samaki mwanza na ndoto za kujenga gold refinery, wakatafuna hela za wazawa?
  9. Baba Imani

    Precision air kuna uozo uliokithiri Mwanza!

    Mbona hawajibu? Hawana hata twitter address?
  10. Baba Imani

    Msaada wa haraka hii hesabu!!!

    Husninyo na dasa mnanikumbusha mbali, asanteni ndugu zangu. Ninachoweza kusema kwa leo na siku zote ni numbers do not lie. Big up.
  11. Baba Imani

    W J Malecela kwa hili la wizi na kutokuwajibika kwa mawaziri ungekuwa upande gani?

    report ya cag ndiyo inayotambuliwa kisheria, siyo maoni ya wanajimbo. Hakuna mahakama inayoweza kumtia mtu hatiani kwa tuhuma za wizi wa kimahesabu/kifedha bila report ya auditor. Hujajua hatua za utawala bora, rule of law. Nenda shule dogo
  12. Baba Imani

    Kuiwakilisha JF Leo, Running To The Finishing Line!

    To sum it up, you are a hypocrite of the highest empirical order! Disgusting.
  13. Baba Imani

    James Millya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Arusha ajivua GAMBA akimbilia Chadema

    Nyati aliyejeruhiwa ni hatari sana. Ole Milia kama unataka itikadi na sera karibu CHADEMA. Kama ni ubunge usidhani tuna upungufu wa wagombea baba! Umekuja na dhamira yako ya ubunge na unadhani kuna majuha wengi huku kwetu na unaamini unaweza kuwatumia Kama Ngazi ya kuufikia ubunge. You are wrong...
  14. Baba Imani

  15. Baba Imani

  16. Baba Imani

  17. Baba Imani

  18. Baba Imani

    Mugabe mahututi Singapore?

    Huyu SI alimdhihaki Yesu kuwa yeye alishakufa na kufufuka mara nyingi tu, nini Yesu mara moja! Google ucheke
  19. Baba Imani

    Msaada nataka kununua pikipiki

    Zitakusumbua kufanya update na hazina antivirus!
Back
Top Bottom