Search results

  1. E

    Geotechnical technician

    Nahitaji geotech technician ambaye ameisha fanya kazi za maabara na site. Woman are given high priority. Contact: Eng. David via whatsapp through 0752626218 please dont call.
  2. E

    Big results now

    Gharama za maisha zinazidi kupanda kila kukicha huku tukisadikishwa kwamba uchumi unapanda pia kwa 7%. Ndugu zangu watanzania ni muda sasa wa kufanya maamuzi magumu hasa katika matumizi ya kila siku. Leo najikita katika masiliano na hasa kipindi hiki cha sikukuu. TIGO kwa 595/= unapata sms...
  3. E

    Mapendekezo ya baraza jipya la mawaziri

    WAPENDA MAENDELEO TUMSAIDIE RAISI WETU KWA KUMPA MAPENDEKEZO YETU ...hasa nafasi zilizo wazi kwenye mapendekezo haya: 1. OFISI YA RAIS Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora) Ndugu George Mkuchika Waziri wa...
  4. E

    CHADEMA are u serious...

    Sihitaji kuwa usalama wa taifa wala mwanasiasa mashuhuri kujua Kitakachotokea baada ya mkutano na raisi wenu, wenu ndio kwani raisi wetu ni yule anayejua matatizo yetu, yeye na nukuu (Mwenyewe sijui kwaninin wananchi wangu masikini). Kweli Mnyika hawakuliona hili, kila kikao kina minutes zake...
  5. E

    Chadema next move....should be educating people via Tv

    km mtanzania wa kawaida ambaye nilipata fursa ya elimu nina uwezo mkubwa wa kutatua matatizo na hasa vikwazo vilivyo mbele yangu, CHADEMA km chama kw ufahamu wangu mdogo ina uwezo mara dufu lakini ktk hili nina mashaka sana mi ningekuwa chama ningefanya hivi: Mikutano ikizuiliwa...
  6. E

    Guess who....

    tofauti kati ya ukweli na hali halisi
  7. E

    What is she, firts or last lady

    In every man success there is a woman behind him, for our first lady Salma Kikwete does she know the role she suppose to play in out current bad situations.
  8. E

    TOFAUTI YA J.KIKWETE NA J.Kambarage

    Wadau, Kunakipimo cha uwezo wa mtu kufikiria, ubunifu, au kuelewa mambo haraka(IQ), na kipimo cha chini ni IQ 70 na cha juu zaidi ni IQ 180 Kikwete (IQ) --------Nyerere (IQ) kufikiri 40 -----------120 ubunifu 27 --------------133 kuona mbali 13.2 --------------150 kuelewa 7.2...
Back
Top Bottom