Kama kawaida, nilikuwa napata masimulizi ya hapa na pale katika saluni na nilisimuliwa jinsi mama daktari wa kujitolea mgiriki alivyofariki dunia, jijini Dar, chanzo na mtiririko wa matukio.Hii ni simulizi na si habari iliyothibitishwa. Kwa kifupi mama huyu mgiriki alikuwa anatembea Ali Hassan...
VIJANA WA KIMERU WAMEANZA KUKUSANYA KADI ZA WAZEE WAO NA KUZIFICHA KWA MADHUMUNI YA KUWAFANYA WAKOSE NAFASI YA KUICHAGUA CCM... Mwenyekiti wa serikari ya mtaa (sitaji) kwajina..(simtaji) amenidokeza kwamba amepokea kesi nyingi za wanachama wake za upotevu wa kadi zao za kupigia kura
Rais wa visiwa vya Maldives, Mohamed Nasheed, amejiuzulu hii leo (07.02.2012) baada ya vikosi vya polisi kuanzisha uasi kufuatia wiki tatu za maandamano ya upinzani unaodai kuachiwa huru rais wa mahakama ya jinai. Rais Mohammed Nasheed ametangaza uamuzi wake wa kujiuzulu wakati wa mkutano...
Naamini watanzania tunahitaji busara za wazee wetu wakina mama maria. Kwasababu yeye ndiye alikuwa mshauri mkubwa wa baba wa taifa mpaka tukawa pamoja.
uraisi siyo kuwa na safari za ulaya bali ni kukaa kitako ktk kiti cha kifarume(kiraisi) then unatoa na kupokea mawazo ya washauri wako. Unawaunganisha wananchi wako kwa vitendo.
Hii ndo itakuwa zawadi tosha kwake na kwa familia yake. Hapendi majigambo thats way hakujenga hata nyumba moja. Nyumba walizo nazo walijengewa bure na jeshi la kujenga taifa tanzania. Atawaunganisha upya watu wote wa mikoa ya arusha,kilimanjaro,mara,mwanza,kigoma,zanzibar.
Ndugu zangu napenda kuchukua nafasi hii kwa mtu yeyote aliye karibu na washauri wakuu wa mambo ya kisiasa hapa Tanzania afikishe ujumbe wangu kwa wahusika. Kwanin nasema mama Maria agombee? 1.watanzania wengi wanampenda kwasababu ya busara,utii,na eshima yake wakati wa uwongo zi wa baba wa...
Gazeti la mtanzania si lipo chini ya mafisadi.sa kwanin wafukuzwe? Pumbavu ccm wameanza kusahau gazeti lao. Mengine ni uhuru na mzalendo. Na televishen ni tbc na clouds.
Mambo gani tena mnatuletea? Kama mmeona mnataka pesa pandisheni ghalama za vocha tu! Sio kutugawanya kwasababu za umasikini wetu. Tafadharini sana na sisi masikini tunataka kuangalia ligi za ulaya na italia. Mkileta huo upuuzi wenu nitavunja au nitatupa hichi king'amuzi chunu...afu tbc ilikuwa...
Ndugu wana jamii katika uchunguzi wangu nimeweza kupata data zinazoonyesha takwimu za wabunge wanao miliki bastora hapa tanzania. Takwimu za duka kuu la kuuza bastora na zana za uwindaji lipo chini ya jeshi la wananchi tanzania zimeonyesha wabunge 72% wa ccm wanamiliki bastora. Wengi wao...
Ndugu bi fatuma john kimario ni mkristo mkatoriki ktk kanisa la bikira maria mama wa huruma mbezi beach dar es salaam,mume wake ni kiongozi mkubwa ktk kanisa.wanamiliki shamba kubwa la mifugo NGURUWE huko tegeta. Kwanini bakwata wanamfata fata wakati amekwisha badirisha dini na ameolewa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.